Kaniki1974
JF-Expert Member
- Dec 2, 2008
- 352
- 23
Tumeusema sana Utawala wa Kikwete. Hauna dalili yoyote ya kubadilika. Sasa ni time for action. Hatutaki kusubiri 2010. Wengi wanasupport maandamano yetu Kuupinga Utawala wa Kikwete kama ilivyojitokeza ktk thread iliyopita. 'Watanzania si mabwege tena'.
Sasa tunakusanya mawazo ya mabango tutakayobeba. Please, toeni maneno ya kuandika katika mabango hayo. Maneno yawe machache yenye ujumbe usiojificha na mkali kwa mfano: 'Viongozi Mnatusababishia Umaskini'
Mawazo yenu pse.
ccm 2010 basi katafuteni kazi nyingine hambebekitumeusema sana utawala wa kikwete. Hauna dalili yoyote ya kubadilika. Sasa ni time for action. Hatutaki kusubiri 2010. Wengi wanasupport maandamano yetu kuupinga utawala wa kikwete kama ilivyojitokeza ktk thread iliyopita. 'watanzania si mabwege tena'.
Sasa tunakusanya mawazo ya mabango tutakayobeba. Please, toeni maneno ya kuandika katika mabango hayo. Maneno yawe machache yenye ujumbe usiojificha na mkali kwa mfano: 'viongozi mnatusababishia umaskini'
mawazo yenu pse.
ccm 2010 basi katafuteni kazi nyingine hambebeki
kwani handsome boy kisha rudi toka usa??
tutaandamana tu wala usijali, sisi tunabeba mabango wao wanabeba marungu na mabomu ya machozi, na gari lao litabeba maji ya kuwasha.
watatuumiza lakini ujumbe utakuwa umefika mahala pake
Jamani naunga mkono hoja ya maandamano kuupinga utawala huu wa ombaomba.Ndugu zangu unaweza ukajitolea maisha kwa ajili ya vizazi vijavyo kama Babu zetu walivyofanya kuuondoa ukoloni wa Mzungu,sasa nasi tujitolee kuuondoa ukoloni huu wa Mtu mweusi Mtanzania.Wageni wanachuma rasilimali zetu tunaangalia tuu.Ardhi inauzwa kwa wageni kama KIGAMBONI,MBUGA ZA WANYAMA na MIGODI tunakaa kimya haiwezekani tuamke jamani.Jamani kuna nchi ya kibabe kama china? Mbona wale wanfunzi walikubali kupigwa risasi za moto pale Tianmen Square na leo tunaona mabadiliko makubwa ya kiuchumi na kijamii katika jamii ya china leo. Elimu bora, maisha bora na idadi ya matajiri wa kichina imeongezeka. Sio demokrasia ucharwa tunayopigiwa kelele kwamba ipo Tanzania. Jamani vyama vingi sio demokraisia. Mijitu inakaa wizarani inaiingia mikataba ya kuuza nchi na wanachi walio wengi hasa vijijini hawafaidiki na utajiri Mungu aliotujalia. Wenzetu Niger Delta wanaendeleza mapambano dhidi ya watawala wanaochukua utajiri wao na kuwaachia umaskini. ni wangapi kati yetu wako tayari kufa ili kuikomboa nchi yetu dhidi ya makabaila hawa wa kitanzania walio vaa ngozi ya kondoo? Tuaache porojo kama ni noma na iwe noma. Tunataka mapinduzi ya kiuchumi na kijamii sio siasa uchwara ambapo kila mtu anakuja kutujaribia theory zake ambazo hazijazaa matunda. Mapinduzi ya kilimo yatakuja vipi kama mfumo wetu wa elimu ni utitiri wa shule ambazo ni bora elimu?
Ni kweli kabisa Tanzania inahitaji mapinduzi ya kimaadili kama yaliyotokea CHINA.Kama mafisadi yangehukumiwa kunyongwa ufisadi ungekoma kabisa Tanzania.Jamani kuna nchi ya kibabe kama china? Mbona wale wanfunzi walikubali kupigwa risasi za moto pale Tianmen Square na leo tunaona mabadiliko makubwa ya kiuchumi na kijamii katika jamii ya china leo. Elimu bora, maisha bora na idadi ya matajiri wa kichina imeongezeka. Sio demokrasia ucharwa tunayopigiwa kelele kwamba ipo Tanzania. Jamani vyama vingi sio demokraisia. Mijitu inakaa wizarani inaiingia mikataba ya kuuza nchi na wanachi walio wengi hasa vijijini hawafaidiki na utajiri Mungu aliotujalia. Wenzetu Niger Delta wanaendeleza mapambano dhidi ya watawala wanaochukua utajiri wao na kuwaachia umaskini. ni wangapi kati yetu wako tayari kufa ili kuikomboa nchi yetu dhidi ya makabaila hawa wa kitanzania walio vaa ngozi ya kondoo? Tuaache porojo kama ni noma na iwe noma. Tunataka mapinduzi ya kiuchumi na kijamii sio siasa uchwara ambapo kila mtu anakuja kutujaribia theory zake ambazo hazijazaa matunda. Mapinduzi ya kilimo yatakuja vipi kama mfumo wetu wa elimu ni utitiri wa shule ambazo ni bora elimu?
Hawawezi kuhukumiwa kunyongwa kwa kuwa atakae hukumu au atakayesaini wanyongwe wote ni mafisadi.Ni kweli kabisa Tanzania inahitaji mapinduzi ya kimaadili kama yaliyotokea CHINA.Kama mafisadi yangehukumiwa kunyongwa ufisadi ungekoma kabisa Tanzania.
Hakimu na JK wote ni mafisadi - kwa hiyo hawawezi kuhukumiwa kunyongwaNi kweli kabisa Tanzania inahitaji mapinduzi ya kimaadili kama yaliyotokea CHINA.Kama mafisadi yangehukumiwa kunyongwa ufisadi ungekoma kabisa Tanzania.