Mabanda ya kisasa ya kuku {chicken cages} naweza kupata wapi?

Mabanda ya kisasa ya kuku {chicken cages} naweza kupata wapi?

hata sido kule vingunguti wanatengeneza na kuuza so unaweza kutembelea hli upate bei tofautitofauti
 
Ni
Yeah yeah niliwaona juzi, wako nyuma ya Kanisa la Sabato. Nilipita nikaona duka lao na hio Cage ni nzuri na ni ya Kuku 100. Wanauza laki saba. Ni nzuri sana niliipenda hadi nikajiuliza kwanini VETA wasibuni kitu kama hiki na wakakiuza kwa bei ya chini kidogo?
mependa wazo lako mkuu VETA wange boresha hzo cage na kuziuza kwa bei nafuu.. 2000 USD sio ndogo.
 
Ni

mependa wazo lako mkuu VETA wange boresha hzo cage na kuziuza kwa bei nafuu.. 2000 USD sio ndogo.
Yaani wangeuza sana sana but hakuna creativity aiseeee, kila mtu anataka cheti tu!! Hata hivyo Mpwa hii signature yako bhana sikubaliani nayo

"If you are not loosing friends you are not growing up"

Hahahahhahahahaaaaa
 
Cage ya kuhifadhi kuku 1000 ni around 2000 usd. Na uzito wake ni kama 970kgs hiyo ni volumetric.

Ungezingatia mteja anayeanza kwa capital ndogo kwa cage ya kuku 100 mpka 500. japokuwa iyo cage yako inayouzwa china ni nafuu.
 
Back
Top Bottom