Mabaki ya Eid hayo...

Hizo mkubwa unatoboleakijiti hapo juu unafunga na kama ili hicho kiini humo ndani kisitoke alafu unamwagia maji ya moto au ya baridi alafu unaweka kwenye mkaa kidogo ukitoa unakwangua na kisu zinakuwa nyeuoe pee hayo manyoya yanatoka yote baada ya hapo unatumbukiza kwenye suou ***** zikiiva unatoboa kidogo na tuthpick ili zisipasukie humo alafu zikiiva weka kwenye sahani katakata zipoe kidogo anza kula (hapa mate yamenitoka kidogo) baada ya hapo kama wewe ni mnywaji kaa gize nyagi au k.vant safi jifariji
 
Mkuu upo vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
matemate flan hiv yamejaa mdomoni dooh
 
Dawa nguvu za kiume; chemsha supu na ngozi yake majibu utayapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…