mkuu..vipi ulipona hii kitu?Habari.
natafuta tiba mbadala ya fangasi ukeni.
maana kwa mwaka naweza umwa zaidi ya mara 10..
nmepewa sindano za Cetriaxone kama week3 zilizopita na Metro ila zimerudi tena..
huwa zinaambatana na .U.T.I
nmeshawahi kutumia cipro, flucan g150/200
dox nmetumia pia..
sasa jamani kwa anaejua dokta wa tiba mbadala na garama zake anipe namba zake!
maana huwa inaathiri mzunguko wa siku zangu za hedhi...
Moro kuna seminary flan ya waluthern mkuu ndio nilisoma hapoUlisoma wap mkuu
Mara ya mwisho lini kusex???isije kuwa gonoHabari zenu wakuu
- Mimi ni msichana mwenye miaka 20,week iliyopita jumatatu nilienda hindumandal nikapima UTI ,kwasababu nilikuwa nawashwa na nikikojoa naumia na kingne hata nikitembea naumia yaan ilikuwa kma nina vidonda vinauma yaan hasa usiku,nikapewa fluderm na gynozol vidonge vya kuweka chini,sasa baada ya kumeza dose nikaacha kuwashwa lakini nikawa bado naumia nikikojoa and vile vidonge vya kuweka chini vilikuwa vinaniumiza sana na baada ya dose vidonda vikawa vinazd,nikarud hosptal wakanipa dawa ya kukausha vidonge ambavyo ni vile antibiotic,lakini dose nmemaliza jana asubuhi sasa bado nikikojoa naumia mbna,yaan inaonekana kma bado ninakidonda au kuna kidonda kinaanza tena,nitumie dawa gani ndo nitaacha kuumia hvi ?wakuu naombeni mniisaidie
mmh mke wa rafiki yako wewe umejuajeTatizo lafangasi linamsumbua sana Mke Wa rafiki yangu nanimjamzito sijui kutakua na tatizo wadau
Sijaelewa unachemsha maji au unabugia unga wenyew bt am1soryBure dawa hii hapa asili Safi unga wa mdalasini pakaa SEHEMU husika nikuliko dawa yoyote ya fangus unayoijua wewe na hio hio kula viko vya Chai vikubwa 3 asabuhi na jioni kiwango vikombe vya Chai vitatu asali vitatu unga wa mdalasini