Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Bray...Fungus wanapokuwa sugu kwa dawa za kupaka unaweza pia tumia combination ya dawa za kupaka na kumeza (vidonge), huwa matokeo yana kuwa mazuri zaidi.

Pia kama unatumia dawa ya kupaka yenye 'steroid' unaweza pata tatizo la usugu wa fungus...steroid ikitumiwa kwa muda mrefu huwa na tabia ya kushusha immunity locally eneo hili inapopakwa, na ndio eneo hilo lenye fungus..na hivyo kuongeza tatizo zaidi ya kulipunguza au kulitatua.

Pia , kwa vile fungus wako ni wa sehemu za siri..inawezekana kuwa unapata re-infection kwa sababu ya nguo zako za ndani kama hazioshwi vizuri. Nakushauri usivae chupi moja kwa muda mrefu, kwa siku badili chupi angalau mara 2 hadi 3, na kila ukivua ufue kwa antiseptic (dettol), anika zikauke kabisa na ikiwezekana zipasi ili kuua spores za fungus ambazo kwa kweli ni taabu sana kuziua.

Zingatia hayo na nina hakika tatizo lako litaisha.
 
Habar ndungu zangu, nasubuliwa sana na tatzo la fangasi wa sehem za siri nmetumia daw za hosptal ila hazjansaidia, hap nlpo sehm za pumbu zmebadil rang na kuwa nyeupe had mishapa ya damu inaonekana, nisaidien ndugu zangu nitumie dawa gan

Tafuta vidonge hivi
SPORANOX capsules
Ni vizuri vitakusaidia, na utaanza kuona mabadiliko ya hilo tatizo lako.
Kila la kheri na pole sana
 
Hi JF,
kuna mwenzangu ofisini analalamika sana anasumbuliwa na tatizo la fungus katikati ya nyeti na mapaja,
wadau dawa gani nzuri ya gonjwa hili tumsaidie mwenzetu!!!!!!
 
Niliwahi kusumbuliwa sana na hao fungus,mara nyingi nilikua nanunua dawa ya kupaka
siku moja doctor kwenye duka nililokua nanunua alinambia

"mbona fungus kila siku,unaishi kwako?"
nikamwambia hapana,nimepanga....
Akasema basi hao fungus wanasababishwa na either
1.bafu mnalochangia ni chafu sana au hata likisafishwa sio kwa dawa
2.unatumia taulo mda mrefu bila kulifua
3.unavaa boxer isiyo kauka vizuri

So,mwambie aaangalie hizo possibility yawezekana akaangukia mojawapo.
Na mara nyingi atumie medicated soap,napenda kutumia protex ni nzuri
 
i experienced such a problem. ni hivi mkuu;
kuna fungus walio nje ya ngozi na walio nje ya ngozi na kwenye damu. kwa wale fungus walio nje ya ngozi dawa zake ni kupaka tu na kuhakikisha unabadili chupi kila siku(hapa ni kinunua boxer zako kumi tu zitatosha). ikiwa unapaka dawa na ukiacha baada ya muda zinarudi tena maana yake zitakuwa kwenye damu kwahiyo inabidi kutumia dawa za kupaka na kunywa(vidonge) na kwa vidonge vizuri ni GRUSSIOFULVIN na ya kupaka nunua WHITEFIELDS OINTMENT. ya kupaka ni kila baada ya kuoga na yakunywa ni 1 mara 1(once per day), dozi ina vidonge 30, na nadhani dozi ikiisha tatizo litaisha kabisa
MASHARTI YA DAWA;
--kunywa maji mengi at least 3 litres a day, ukiona unakuwa na kazi nyingi sana mchana na kushindwa kunywa maji jaribu kila ukiamka asubuhi kunywa lita 2 za maji vuguvugu inasaidia kukamilisha lita 3 maa mchana utadaiwa moja tu.
--usinywe gambe/pombe, pombe huponguza nguvu ya dawa. jaribu kupumzika kama unakunywa maji ya dhahabu(bia)

KILA LA KHERI NA PIA MIMI SI DR ILA HIYO DOZI ILINISAIDIA, WAWEZA MUONA DR KWA MSAADA ZAIDI.
 
ndugu zangu naomba kuifahamu dawa ya magonjwa hayo nimsaidie mwenzangu,vilevile nini causes ya magonjwa haya kwa kina dada?
Msaada tafadhali wandugu!
 
Dawa huwa ni antibiotics akifika pharmacy atasaidiwa.
Hivi vyoo vya public ni rahisi sana kupata UTI.
 
Dawa huwa ni antibiotics akifika pharmacy atasaidiwa.<br />
Hivi vyoo vya public ni rahisi sana kupata UTI.

Muuza madawa hawezi kukuambia ukafanye vipimo, atakupa dawa apate hela. Strain ya wadudu wa uti cku hizi imekuwa resistant to antibiotics kwa sabab ya doz za cku tano wanazogawa pharmacy.

Plz nenda hospital ukafanye na vpmo! I can tel u kuna jamaa alikutwa na wadudu sensitiv to cloxacillin ila alijidozi kwa 5 dyz akaacha, iliporudia tena akakutwa na wadudu walewale ila resistant to ol drgs except vancomycin. Na vancmyn ni ghali sana doz yake! Ni bora kwenda hosptal na kumaliza doz ambayo ni not less than ten dyz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom