Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

Unatimiza majukumu yako ya kuwalea na kuwapa mahitaji yao ya msingi.

Ila ukitaka kujua uchungu wanao pitia wazazi wa single mother, hata mabroo wa single siku ikikutokea kwa binti yako ambaye yupo kwenye himaya yako.

Wanaume tunapenda ngono, ila tujitahidi kujizuia kuzaa hovyo hovyo na wanawake tofauti.
 
Kuna pisi kali nimezaa nao mpaka nafsi yangu inasikia faraja; watoto wakali kuanzia sura, chura, hipsi, urefu, na wakazaa watoto wazuri hata nikiwaona kwa mbali najiona kweli nimetumia uanaume wangu vizuri...​
Baba gani unajisifu kabisa mbele za watu eti watoto wako wana chura?

Matokeo yake kesho utasikia magazetini "BABA MBARONI KWA KUMBAKA BINTI YAKE"
 
Unamuwekea mazingira ya kukuamini, na mwisho wa siku atatoa hiyo hand break
Ni sahihi unavyosema, lakini iwapo akikuona huna uelekeo na maisha, hawezi kukubebea mimba hata Kwa bahati mbaya

Kama hujui ni kwamba, Wanawake Wana penda sana kuhakikishiwa Usalama wao na Watoto wao. Hasa Kiuchumi, kama huna Uchumi mzuri ni ngumu sana msichana anayejielewa kukubebea mimba, sembuse kukupa game

Tuulizeni Wazee wenu vizuri 😜
 
Uko sahihi
 
Kama ulilelewa ili uendelee kuwa mvulana na siyo mwanaume utaona ni jambo dogo sana kuzaa zaa hovyo na kutelekeza watoto waishi na mama zao, ila kwa sisi tuliolelewa ili tuwe wanaume hatuwezi kupata usingizi ikiwa tutawazalisha wanawake hovyo hovyo alafu hujui mtoto kala nini wala kavaa nini,

Na mahitaji hayo huwezi kuyatimiza ikiwa unaona kuzalisha wanawake hovyo ni jambo dogo.
 
Ukifuata njia zangu, hakikisha chakula chako kinatoka shambani na si cha kununua.
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…