Mabaharia tuwe tunatembea na UPT mifukoni

Ili usikamatike uliza girlfriend wake tarehe ya siku zake then download application uweke update ya kila tarehe ya siku zake kila mwezi then itakuwa inaonyesha safe day, na danger day ka hutaki kuzaa hovyo na kila mwanamke
Hiyo application inaitwaje mkuu.
 
Hiyo application inaitwaje mkuu.
Ziko nyingi mojawapo inaitwa Flo tracker for period, una download hyo then unaweka tarehe ya siku ya kwanza then inakuwa inaonyesha mzunguko wa siku safe day's, na siku za kushika mimba, pia mtu akiwa mjamzito anaweka tarehe inakuwa Ina mpa updates za mimba yake had possible tarehe ya kuzaa.
 
Hawezi akakuambia siku ya ukweli, ishu no kuwa anakuja purposely kukusingizia mimba aliyoipata huko pasipojulikana, au ameona uelekeo anaamua kukutega mkigegedana tu anasema ana mimba yako
 
Ni girlfriend wako kwanini usijue hyo kitu siuna muuliza tu, kuliko kuja kusingiziana
 
Mabaharia wengi siku hzi huwa tunatembea na vipimo vya ngoma mifukoni pindi tunapoelekea kunako kugegedana. Nakumbusha tujenge tabia ya kutembea na vipimo vya mimba vile vya kutumia mkojo. Halafu kama kawa tunapima ngoma, tunagegedana kabla ya kuagana tunapima mimba.

Mtu anakuja na mimba yake huko ameipata anapopajua yeye anakutengenezea mazingira ya kimitego ukitegeka tu mnashirikiana halafu after a week anakuambia anahisi dalili za mimba yako akijua wazi amekubambikia.

Hii mbinu itatusaidia kuepuka kubambikiwa mimba. Vipimo vyenyewe buku jelo tu

Naomba kuwasilisha
Tena unakuta mimba kapewa na teja livuta bangi na kabaji mitaani
 
uelewa wako wa mambo hayo ni mdogo sana

utambue mbegu za kiume hukaa kwenye uke kwa saa 72 hizo saa chache mlizostarehe zisikufanye ukajiona huwezi bambikiwa mimba kuna masaa kibao mbele na mbegu ndio ndisa zipo safarinikuelekea kunako yai

kupima mimba baada ya kustarehe ili usibambikiwe ni nonsense muhimu ujue tu mzunguko wake mzee baba
Nakupa point 3 ,Good

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekurupuka hujamuelewa mleta mada
uelewa wako wa mambo hayo ni mdogo sana

utambue mbegu za kiume hukaa kwenye uke kwa saa 72 hizo saa chache mlizostarehe zisikufanye ukajiona huwezi bambikiwa mimba kuna masaa kibao mbele na mbegu ndio ndisa zipo safarinikuelekea kunako yai

kupima mimba baada ya kustarehe ili usibambikiwe ni nonsense muhimu ujue tu mzunguko wake mzee baba
 
mpaka mda huu nimesha wapima wawili na bado nina akiba ya kipimo kimoja cha mimba ktk droo..
 
uelewa wako wa mambo hayo ni mdogo sana

utambue mbegu za kiume hukaa kwenye uke kwa saa 72 hizo saa chache mlizostarehe zisikufanye ukajiona huwezi bambikiwa mimba kuna masaa kibao mbele na mbegu ndio ndisa zipo safarinikuelekea kunako yai

kupima mimba baada ya kustarehe ili usibambikiwe ni nonsense muhimu ujue tu mzunguko wake mzee baba
Anaokota makahaba badoo atajua mizunguko ya wangapi, saa ngapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uelewa wako wa mambo hayo ni mdogo sana

utambue mbegu za kiume hukaa kwenye uke kwa saa 72 hizo saa chache mlizostarehe zisikufanye ukajiona huwezi bambikiwa mimba kuna masaa kibao mbele na mbegu ndio ndisa zipo safarinikuelekea kunako yai

kupima mimba baada ya kustarehe ili usibambikiwe ni nonsense muhimu ujue tu mzunguko wake mzee baba
Huaenda anataka kujua hali ya mwanamke kabla ya mchezo na je ana mimba au hana
 
Back
Top Bottom