Mabaharia tuwe tunatembea na UPT mifukoni

Mabaharia tuwe tunatembea na UPT mifukoni

Akinywa Pepsi au coca ,alafu ukampima ngoma utakua unajidanganya tu,vaa ndomu
 
Mkuu kabla ya show weka wazi kuwa akibeba mimba ni jukumu lake na asikusumbue kabisa. Hapa atachukua tahadhari.
 
Mabaharia wengi siku hzi huwa tunatembea na vipimo vya ngoma mifukoni pindi tunapoelekea kunako kugegedana. Nakumbusha tujenge tabia ya kutembea na vipimo vya mimba vile vya kutumia mkojo. Halafu kama kawa tunapima ngoma, tunagegedana kabla ya kuagana tunapima mimba.

Mtu anakuja na mimba yake huko ameipata anapopajua yeye anakutengenezea mazingira ya kimitego ukitegeka tu mnashirikiana halafu after a week anakuambia anahisi dalili za mimba yako akijua wazi amekubambikia.

Hii mbinu itatusaidia kuepuka kubambikiwa mimba. Vipimo vyenyewe buku jelo tu

Naomba kuwasilisha
Mabaharia kwa vipimo hivyo vyote(upt strip,sd bioline malaria,sd bioline for hiv ,uni gold hiv test kit ,etc) wanione nasupply at affordable price.
 
mapema sana huwa natoa taarifa ukiwa na mimba au usiwe nayo mi siitambui kwa mujibu wa sheria.maana nilishataka kushkishwa mara mbili nikachomolea mbavuni.sikukosea mara zote watoto walipozaliwa hata hatufanani ht kucha
 
uelewa wako wa mambo hayo ni mdogo sana

utambue mbegu za kiume hukaa kwenye uke kwa saa 72 hizo saa chache mlizostarehe zisikufanye ukajiona huwezi bambikiwa mimba kuna masaa kibao mbele na mbegu ndio ndisa zipo safarinikuelekea kunako yai

kupima mimba baada ya kustarehe ili usibambikiwe ni nonsense muhimu ujue tu mzunguko wake mzee baba
Binafsi nimekuelewa sana tu Madame S
 
dah, nibebe SD BIOLIN, ndomu, tena UPT na kisa mtoto dah matumizi mabaya ya pesa, acha wanibambikizie mimba tu maana na mm zangu wanabambikizia wengine wanalea uko walipo.
 
Back
Top Bottom