miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,803
- 49,109
Ha ha ha haWa Mkoani atasafisha nyumba vizuri,atampikia mgeni,ataenda kumpokea standi,anarudi naye mpaka nyumbani.
Wale wa Dar,kwanza akipata taarifa tu mke anarudi,jambo la kwanza ni kupiga simu kwa muuza ngisi na pweza kwaajili ya booster,atampigia bodaboda wake akamlete mgeni kutoka stendi,pia atamuomba bodaboda akitoka standi apitie kwa muuza chipsi kwaajili ya mgeni[emoji23][emoji23], huku yeye muda huo yupo nyumbani anatafuta maganda ya condom zilizotumika asije akakamatwa