bothlegs
Senior Member
- Apr 14, 2009
- 123
- 49
Katika mchakato unaondelea sasa hivi nchi nzima juu ya uundwaji wa katika mpya kwa wananchi kutakiwa kutoa maoni yao jinsi gani wanataka katiba hiyo iwe.Kuwa mzee mmoja katika kutoa maoni yake kwenye tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya amependekeza neno KATIBA lisitumike badala yake litumike neno PEMBENI IBA na itambulike kama sheria BABA.Kwani hili jina la sasa KATIIBA linawapa wanya viongozi wengi kutumia mwanya huu kufuja mali ya uma kwa kisingizio cha kuafata sheria MAMA yaani KATIIBA.