Nobunaga
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 1,169
- 4,985
Tarehe 18 mwezi huu kuna mabadiliko mapya ya vifurushi yatafanyika. Hiyo ni kwa mujibu wa jumbe za kampuni husiko walizotuma.
Kikubwa tulichokuwa tunaumia watumia mabando ya kwenye simu ni kwa upande wa Internet Bundles ambazo zimekuwa zikishushwa kiwango kila kunapofanyika mabadiliko.
Je, na haya mabadiliko ya keshokutwa wananchi tutapata unafuu ama ndiyo watazidi kutuchinjia baharini?