Mabadiliko ya harufu ya uke husababishwa na nini?

Mabadiliko ya harufu ya uke husababishwa na nini?

inawezekana ikawa ni ugonjwa ama alijisahau kuosha...pengine ungempeleka hospitali ingefaa zaidi...lakini wengine wakiwa kwenye siku zao pia uke huwa na harufu tofauti na iliyozoeleka...je hayupo mwezini huyo...?
 
Back
Top Bottom