Mabadiliko ya halmashauri ya mji wa Ifakara na halmashauri ya wilaya ya Kilombero.

Digo zee

JF-Expert Member
Jan 20, 2017
548
1,124
Ni yapi maoni yako kufuatia mabadiliko yaliyo fanywa na MH. RAISI katika halmashauri hizi?
71509370_704640016695541_365972310420037976_n.jpeg
 
Mods mtanisaidia kurekebisha heading, inatakiwa isomeke halmashauri ya mji wa ifakara na halmashauri ya wilaya ya kilombero
 
Hapa rais ametusaidia sana hasa sisi wakazi wa chita maana tulikuwa tunatumia zaidi ya masaa2 kufika h/kilombero
 
Nashauri Halmashauri ya Bunda Mji uvunjwe ili kuwa na Halmashauri ya Chamriho na Halmashauri ya Mwibara. Makao makuu ya Halmashauri ya Chamriho pawe Bunda Mjini na Makao Makuu ya Halmashauri ya Mwibara pawe Kibara. Aiingi akilini mwananchi anatoka Machimweru mpakani mwa Serengeti kwenda kutafuta huduma kwenye Halmashauri yake kule Kibara.
 
Back
Top Bottom