Mabadiliko ya Fikra yapigiwa debe na Mabalozi

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
Change of mindset key to Africa`s progress

2008-05-02 09:25:04 (Guardian)
By Bilham Kimati

Making the people of African believe that the continent is prosperous and there is no justification for its people to remain poor is the best instrument towards the achievement of Millennium Development Goals (MDGs), IPP Executive Chairman Reginald Mengi has said.

He made the remarks in Dar es Salaam yesterday during an audience with a 25-man delegation from the Armed Forces Command and Staff College, Jaji, in Nigeria when they toured the IPP media houses.

Mengi said Africans had to make a breakthrough and shake off the negative attitude that poverty was here to stay.

``For many years Africa was classified as the poorest continent, irrespective of continued exploitation of its resources, and these resources could add to people?s efforts towards mental liberty, economic success and total eradication of poverty,`` Mengi said.

Commenting on the concept of poverty alleviation in Africa, Mengi said the perception had no relevance whatsoever.

``The focus should be on wealth creation and not reducing poverty which, in itself, is not a problem but a challenge to deal with.

We need to stand firm to prove in action that we are achievers and winners and not pessimists. Donor support should not replace people`s efforts, but rather supplement their efforts,`` he said.

Citing examples of natural wealth such as oil and minerals that both Nigeria and Tanzania were endowed with, Mengi said time had come to do away with the repulsive dependence syndrome inculcated in people`s minds for many decades that Africa would remain poor.

``Why poverty in a rich country? Africa is a rich continent, and so should Africans who should never be regarded as second-class citizens,`` he said.

He said Africa could achieve much more socially, politically and economically, with determination being the prerequisite. He recalled the time in history when Morocco ruled Spain.

``It is possible for Africa to rule the world economically. This is the kind of confidence that needs to be shared among our people and the future generations. We can do it. Let`s make use of the available opportunities,`` he said.

Responding to a question as to how the local media had contributed to the war against corruption, Mengi said much had been achieved in terms of people?s awareness on what was going on in their own country.

``Today, people can openly discuss issues pertaining to war on corruption and good governance. The community has come to learn that there is no development if there is bad governance, corruption, lack of education or when they are denied the right to information,`` Mengi said.

He said the media had continued doing its duty as a control mechanism while following the basic ethics of truth and balance.

``Investigative papers, for example, do not end with reporting corruption-related incidents but also demand recovery of looted people?s wealth. Greed has no room anymore,`` he said.

With regard to war against the further spread of HIV/Aids, he said the media had played a major role in educating the community on preventive measures, despite some setbacks experienced by whistleblowers.

For his part, Commodore Awonyemi praised Mengi for his exemplary investment and his determination to bring the people of East Africa and of the continent together.

``We have learned that a humble beginning can lead to tremendous achievement where there is determination. When we go back home, our mindset will never remain the same,`` said Commodore Awonyemi.

The Nigerian delegation is in the country for a week-long visit to study how the government of Tanzania, through various ministries and private organisations, is working towards the achievement of Millennium Development Goals.
 
Change of mindset key to Africa`s progress

2008-05-02 09:25:04 (Guardian)
By Bilham Kimati

Making the people of African believe that the continent is prosperous and there is no justification for its people to remain poor is the best instrument towards the achievement of Millennium Development Goals (MDGs), IPP Executive Chairman Reginald Mengi has said.

Hiyo ni hatua ya kwanza na ya msingi, kuamini kwamba hakuna sababu yoyote ya msingi ya kubakia masikini. kinachofuatia ni wananchi kutambua kwamba wao wenyewe ndio wanadumisha hilo kwa kuendelea kunyamazia maovu yanayoendelea kufanywa waziwazi na watu waliowaweka madarakani wao wenyewe. WANASIASA WAWAJIBISHWE NA WANANCHI. hakuna haja ya kuendelea kupokea vijisenti vya hongo toka kwa wanasiasa, na kumbe kwa kufanya hivyo wananchi wanajiuza wenyewe, na kuwapa nafasi wezi hao kufanya wanavyotaka

Change of mindset key to Africa`s progress
Mengi said Africans had to make a breakthrough and shake off the negative attitude that poverty was here to stay.

``For many years Africa was classified as the poorest continent, irrespective of continued exploitation of its resources, and these resources could add to people?s efforts towards mental liberty, economic success and total eradication of poverty,`` Mengi said.

Ni kweli umaskini unaanzia kwenye akili. ni juu yetu sisi wote kusaidiana katika kuondoa dhana hiyo. Naamini kama kila mtu anatimiza wajibu wake, hilo sio gumu sana. kama mtu anafanya kazi na kupata malipo stahili, atafanya kazi zaidi. kama mkulima analipwa kwa wakati, atalima zaidi. kama halipwi kwa wakati au halipwi kabisa, basi ataacha kulima kahawa au pamba, au tumbaku, na atalima bangi au atafanya biashara ya gongo. kama NGO, vyombo vya habari, wasomi, wanablogu, wapiga filimbi,wakulima, wafanyakazi, wanasiasa, wooote tuimbe wimbo mmoja, tupige vita moja.

Change of mindset key to Africa`s progress
``The focus should be on wealth creation and not reducing poverty which, in itself, is not a problem but a challenge to deal with.

a leaf off the positive thinking book. it works, but not by itself alone

Change of mindset key to Africa`s progress

``Today, people can openly discuss issues pertaining to war on corruption and good governance. The community has come to learn that there is no development if there is bad governance, corruption, lack of education or when they are denied the right to information,`` Mengi said.

That is the idea, we should keep the wheel moving forward, each playing his/her part
 
Kaka Nyani, Kila Kitu Kinaanza Kwa Kuongelewa. I Believe Kwamba We'll Get There, It May Take Time But We Will. So It Is Up To You And Me To Make The "talk" Possible.because We Have Knowledge.
 
Kaka Nyani, Kila Kitu Kinaanza Kwa Kuongelewa. I Believe Kwamba We'll Get There, It May Take Time But We Will. So It Is Up To You And Me To Make The "talk" Possible.because We Have Knowledge.

Duh! inawezekana ni kweli vitu vingi huanza hivyo lakini nadhani sisi hatujajifunza juzi kuzungumza!! Nadhani tulikuwa tunazungumza tokea mwanzo....so wewe huoni kama tumezungumza vya kutosha?
 
NN, siyo kuzungumza.... ni kubadilisha fikra. Hakuna kitu kinachoweza kumkwamisha mtu kufanya kitu kama mawazo yake yeye mwenyewe. Do you remember that inspirational story "The Little Train that Could?"

It starts with the mindset not institutions, not constitutions, and definetely not politicians... si umeona Iringa juzi CCM imejikombea wanachama wapya 700? kwanini wakati mtu kasema CCM haiwezi kuongoza?
 
Hiyo ya kuzungumza nilikuwa namjibu Lusajo. Nakubaliana na wewe kuhusu fikra and you'll be surprised (or may be not) how much me and you think alike. The only difference is that you are far more eloquent than I am.

CCM kujikombea hao wanachama 700 (kama sio propaganda zao tu) imesababishwa au imetokana na nini? Hoja shawishi, rushwa, mazoea, au matarajio ya hao wanachama kupata ulaji kwa vile CCM ndio chama tawala?
 
Sikatai Nyerererist It Will Take Time Lakini Inabidi Mtu Fulani Aanze, Na Kama Tutaanza Na Watoto Itakuwa Safi Sana, Kama Vitabu Vya Watoto Na Mambo Kama Hayo. Nn Na Mm Najua Mtu Ni Yeye Mwenyewe Na Mawazo Yake Lakini Bado Nasisitiza Na Najua Kwamba Wote Mnajua Kwamba Maneno Yana Power, Na Ndio Yanaanzisha Hata Vita. Kwa Hiyo Yanaweza Kuanzisha Hata Hiyo Vita Ya Watu Kujikomboa Kiakili, Anyways Hiyo Itakuwa Ni Kampeni Yangu Nikifika Bongo Na Nikikuta Kuna Watu Wameanza Itakuwa Fresh Sana. Lakini Ni Kitu Nitakachokifanyia Kazi.
 
... si umeona Iringa juzi CCM imejikombea wanachama wapya 700? kwanini wakati mtu kasema CCM haiwezi kuongoza?

Hizi ndio mindset ambazo inabidi tuzipige vita. mchezo ni uleule, mtu anapewa vijisenti ili tu akaonekane kwenye hadhara kwamba kakombwa kwenda CCM. hiyo ni publicity nzuri kwa CCM kwamba bado kinakubalika. ni cheap publicity ambayo haina mizizi, na inashangaza kwamba badala ya kuwekeza kwenye hali bora ya maisha ya kweli kwa wakulima na wafanyakazi wa Tanzania, bado CCM inawekeza katika vituko kama hivi. Ni kweli hali ngumu ya maisha itaonesha ukweli uko wapi, lakini haitakiwi kusubiri hiyo. Mtanzania aelimishwe juu ya uwezo wake wa kuiwajibisha CCM kwa kutumia uwezo wake wa kidemokrasia
 
NN, siyo kuzungumza.... ni kubadilisha fikra. Hakuna kitu kinachoweza kumkwamisha mtu kufanya kitu kama mawazo yake yeye mwenyewe. Do you remember that inspirational story "The Little Train that Could?"

It starts with the mindset not institutions, not constitutions, and definetely not politicians... si umeona Iringa juzi CCM imejikombea wanachama wapya 700? kwanini wakati mtu kasema CCM haiwezi kuongoza?

Mzee mwanakiji hoja zako zote ni za msingi na hayo yote unayoyasema yanawezekena na kila jambo jema linapokuwa linatekelezwa lazima kuwe na vizngiti hivyo tunahitaji kuviruka ili tuweze kusonga mbele.

lakini mzee mwana kijiji kuna hoja imetolewa kwamba unaishi uaghaibuni bila kibali ni kweli ingawa niko inje ya mada?
 
Back
Top Bottom