ni yule yule first reseller wa PDPROXY hili ni tangazo kwa ajili ya wateja wa zamani na wapya kuhusiana na mabadiliko ya bei.
wale munaotaka kujiunga jisajili hapo Signup - PD-Proxy VPN
ukitaka kudownload na kuinstall Download PD-Proxy a Virtual Private Network (VPN) Tunneling software
kupata details za official resellers List of Authorized PD-Proxy Resellers
Sasa kwa huduma ya unlimited ya mwezi 1 ni 9,500tsh
Sasa kwa miezi 3 ni 25,000tsh
Sasa miezi 6 ni 55,000tsh
mwaka 1 ni 80,000
Punguzo la bei ni kutokana na wateja wengi kuniomba kupunguza bei kwa kuwa ni reseller wa muda mrefu.
Kumbuka muda wa kulipia ni 24/7 kama kawaida hakuna kilichobadilika.
Ukiwa mwanachama unapoishiwa na salio la simu ukiwa na tatizo tuma sms na utapigiwa na munjy1 mwenyewe.
Msaada unapokuwa na tatizo lolote la kuconnect ni 24/7 including holidays.
Njia za malipo ni zile zile TIGO PESA 0715044899 pia unaweza kulipia kwa njia ya M-PESA, AIRTEL MONEY NA EZY PESA kupitia namba hiyo hiyo 0715044899
Mabadiliko ya bei ni kuanzaia leo tarehe 19 July 2013
Kwa wale ambao wanadaiwa huchukuwa vocha hadi mwisho wa mwezi wanalipa madeni yao hayajabadilika bei na wataendelea kulipia ile ile11,000tsh kwa ajili ya mkopo sio cash.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na namba zilotajwa hapo juu
Sitajibu PM wala comments
Refference zote zipo hapa:
https://www.jamiiforums.com/jf-stor...ternet-yetu-ileeeee-ya-freee-na-pd-proxy.html
https://www.jamiiforums.com/jf-stor...a-buree-ya-pdproxy-kama-unataka-kujiunga.html
https://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/323095-pdproxy-na-basi-la-kijani-limeshindikana.html
https://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/301608-internet-ya-bureeee.html
https://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/306706-muhimu-kusoma-hii-kama-unatumia-pdproxy.html
https://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/328038-shkrani-kw-munjy1-na-kruu-nzima-ya-jfs.html
Kwa maelezo zaidi wasiliana na namba zilotajwa hapo juu
Sitajibu PM wala comments
Cheki PM mkuu
Wanauchumi wanasema
Lazima kuwepo na watoa huduma wengi ili ushindani uwepo na huduma ziboreshwe
C6 mbona thread zetu mmezirundika jukwaa moja
namtafuta chief mkwawa simpati. chief-mkwawa, punguza pm kwenye inbox yako ili nikupm. mia
wamavoko umeumbuka vibaya
kutaka kuwauzia wa2 pd proxy kwa elf 15,,, mshkaj wangu kakupigia
ukamwambia elfu 15
sipati pm hata moja na
wala pm zangu hazitoki sijui id yangu ina nini. mkuu c6 hebu kama kuna
mambo ya kurefresh nirekebishie watu wengi wanalalamika
wamavoko umeumbuka vibaya kutaka kuwauzia wa2 pd proxy kwa elf 15,,, mshkaj wangu kakupigia ukamwambia elfu 15
Kazi kweli kweli!