mkurugenzi1
Senior Member
- Mar 22, 2009
- 122
- 28
Change doesn't come from Washington. Change comes to Washington. --- Barrack Obama.
mabadiliko yana hitajika kila kona na pembe ya dunia hii...wewe unatuambia chama chetu ni kile kilee ooohh ni kile kilee, CC... ni ile ileee oooo ni ile ile... maana yake ni kwamba hakuna jipya la kuwafanyia watanzania mawazo yako na watendaji wako na serikali yako bado itabaki kuwa ni ile ileeee oooh ni ile ileeee.
lazima tuwaachishe ziwa.