Hakuna lolote mbona Nape alishasemwa karibia miezi kaza nyuma kuwa mkulu anataka kumtumbua nailiongelewa sana hapa jf naikaja kutokea kweli amemtumbua hajambua? Nachowapendea waTz wana maono ya ukweli sana sijuhi wanakuwaga ndani ya moyo wa mkulu?Huyu rais hapendi kuwa pre emptied akisoma uzi wako hata kama alikuwa na hiyo nia anaacha...hataki mitandao imuendeshe
Ndugu kwani anaendelea kusoma habari kwenye mitandao ya kijamii???Huyu rais hapendi kuwa pre emptied akisoma uzi wako hata kama alikuwa na hiyo nia anaacha...hataki mitandao imuendeshe
Wana Jamvi, mabadiliko na uahamisho wa baadhi wa wakuu wa mikoa yamo mbioni. Hii inatokana na kile Paskali anachokiita TREND READING. Kuna shinikizo kubwa la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutoka Jiji hilo.Kuna ripoti inasubiriwa ya Kamati ya maadili ya Bunge na kesi ilofunguliwa dhidi yake. Kuna uwezekano AKAHAMISHIWA Simiyu. Dar es Salaam atakuja Mkuu wa sasa wa Arusha, wa Tanga akaenda Arusha, wa Simiyu akaenda Tanga. Katika zoezi hili Mkuu wa Mkoa wa Njombe ATAONDOKA, wa Singida ATARUDI Njombe. Mkuu wa wilaya Iringa atapanda na kuwa RC Singida...
Apelekwe simiyu!Haaa nyie mnataka jambazi bashite afe kwa presha.......
Amehamia CCM.AMeambiwa achape kazi sawa... Kwani aliyesema hayo si ndo huyo huyo alisema UPINZANI hawatakuwemo kwenye Serikali yake? AU Kitila kahamia CCM?
Huendae mleta Mada ndiye bashite mwenyewe kuzidi kumchanganya rais.Kweli kabisa mkuu yaani hawa watu wa tetesi ndio wanaochelewesha Bashite kutolewa Dar . Maana mkulu nahisi humu ana ID yake au anasoma kama guest bila kulog in ili ajue kama hizi tetesi zimeshavuja ili asitishe mambo yanayokuwa predicted.
we umeharibu ungekaa kimya mpka mtu aende SIMIYU.Wana Jamvi, mabadiliko na uahamisho wa baadhi wa wakuu wa mikoa yamo mbioni. Hii inatokana na kile Paskali anachokiita TREND READING. Kuna shinikizo kubwa la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutoka Jiji hilo.Kuna ripoti inasubiriwa ya Kamati ya maadili ya Bunge na kesi ilofunguliwa dhidi yake. Kuna uwezekano AKAHAMISHIWA Simiyu. Dar es Salaam atakuja Mkuu wa sasa wa Arusha, wa Tanga akaenda Arusha, wa Simiyu akaenda Tanga. Katika zoezi hili Mkuu wa Mkoa wa Njombe ATAONDOKA, wa Singida ATARUDI Njombe. Mkuu wa wilaya Iringa atapanda na kuwa RC Singida...