chuwaalbert
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 3,598
- 2,117
Wana Jamvi, mabadiliko na uahamisho wa baadhi wa wakuu wa mikoa yamo mbioni. Hii inatokana na kile Paskali anachokiita TREND READING. Kuna shinikizo kubwa la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutoka Jiji hilo.Kuna ripoti inasubiriwa ya Kamati ya maadili ya Bunge na kesi ilofunguliwa dhidi yake. Kuna uwezekano AKAHAMISHIWA Simiyu. Dar es Salaam atakuja Mkuu wa sasa wa Arusha, wa Tanga akaenda Arusha, wa Simiyu akaenda Tanga. Katika zoezi hili Mkuu wa Mkoa wa Njombe ATAONDOKA, wa Singida ATARUDI Njombe. Mkuu wa wilaya Iringa atapanda na kuwa RC Singida...