Uchumi wa Tanzania unakuwa kwa kasi kubwa kuliko nchi yoyote ile ya Africa, lakini wanasahau kauli zao za kukua kwa uchumi na reality ya kitaa haviendani kabisa ni kama usiku na mchana.
Kabisa Mkuu huwezi kujipiga kifua uchumi wa Tanzania unakua kwa kati ya 5% to 7% kwa miaka zaidi ya 20 sasa lakini hali halisi haiko hivyo wengi wa Watanzania wanaona maisha yanazidi kuwa magumu na hata mlo mmoja kwa siku ni shida.
Kumbe na ww ni mwanachama wa ile kitu mikono juu. Naona zile mambo zako za kuwatega wanaopaa night hazisaidii bora upige ile kitu ulale nusu kaputi wakija wapite tuu
Inasemekana kuanzia mwezi wa tano yaani may wanataka wabaki na beers za chupa ndogo kutokana na hali ya uchumi,no more chupa kubwaz.
Adiiiioooos amigoooo.