Tunaomba tutakapofunga kwa muda, mtu afanye ku-CLEAR COOKIES, na kuondoa CACHES kwenye browser yake.
Google utapata maelezo na faida yake. Kwa lugha rahisi inasaidia kufuta kumbukumbu zilizohifadhiwa baada ya kutembelea tovuti tofauti.Naomba utueleze faida ya ku-CLEAR COOKIES na kuondoa CACHES ili tujue sababu ya kufanya hivyo!
Google utapata maelezo na faida yake. Kwa lugha rahisi inasaidia kufuta kumbukumbu zilizohifadhiwa baada ya kutembelea tovuti tofauti.
Asante kwa taarifa.
hivi ni gender sensitive
au sensitiv??????
hahahah utabondwa!! nilifikiria ni ajenda sensitive!
hahahah utabondwa!! nilifikiria ni ajenda sensitive!
The boss we mchokozi sana nimeshakuona..Kumbuka ID zina limitation of words kama jina lako ni refu sana halikubali.Ni Gender Sensitive,Invisible ksema atanibadilishia..lakini pia ni boss sensitive.hivi ni gender sensitive
au sensitiv??????
Wakuu,
Nasikitika kuwatangazia kuwa tunahamisha data kutoka Center moja kwenda nyingine. Hii itasababisha nameservers kubadilishwa na hivyo kwa wale ambao wanaitembelea JF mara kwa mara huenda wakawa anapata shida kuwa haipatikani.
Hii inaweza kuwagharimu wengine masaa 24 hivi mpaka nameservers zibadilike sawasawa kwao.
Kila jambo tunalifanya kwa dhamira njema kabisa.
Tunaomba tutakapofunga kwa muda, mtu afanye ku-CLEAR COOKIES, na kuondoa CACHES kwenye browser yake.
Inakuwa ngumu kuelekeza kila mmoja jinsi ya kufanya hivi, naamini mtu unaweza kumwuliza mtu wa karibu jinsi ya kufanya kitu kama hicho, uliza katika google "How to clear cookies and clear caches on my computer" kisha utaelewa namna gani ya kufanya.
Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza. Usumbufu huu utajitokeza tena 2011 mwezi kama Aprili hivi...
Mkuu ilikuwa URGENT, na hata sisi tulitamani kutoa muda wa kutosha. Unapoona kunakuwa na kushtukiza hivi ujue si kawaida, zimamoto haihitajiki lakini inapotokea ujue basi kuna jambo mkuu wangu. Lakini yote ni katika kuongeza ufanisi.Invisible
Pamoja na kufanya hii kazi ya kuhamisha etc. etc. Kuna members more than 15000 mbali ya wale wanaopitia tu. Huwezi kufanya tangazo in one day na kufunga that same day, fikiria vile vile time difference and not only that you can e-mail all members in one click. Well what can I say, BRAVO for what you did.