Mabadiliko madogo baraza la mawaziri leo tarehe 3/3/2019

THOMASS SANKARA

JF-Expert Member
Nov 13, 2014
1,826
2,000
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh dr john pombe magufuli leo amefanya mabadiliko madogo katika baraza la mawaziri kwa kuhamisha waziri wa mambo ya nje dr augustine mahiga kwenda wizara ya katiba na sheria

Huku aliyekuwepo wizara ya katiba na sheria prof palamagamba kabudi kupelekwa wizara ya mambo ya nje.

Kila la heri kwenye majukumu yenu mapya
IMG-20190303-WA0000.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom