MANGAMANGA21
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 224
- 223
Kazi juu ya kazi
Hunizidi mm nifah bahati mbaya hapa ofsini kuna lijamaa lisukuma kila kitu linatetea, hasira zangu zote juu ya mkulu nazimalizia kwakeHii nchi ishakuwa ya kisengerema sasa.
Yani leo nina hasiraaaaaa
Dah ngoja tu nisiendelee kuchangia humu nisijeharibu
Alisema atajiuzuru km vyombo vya habari vitanyimwa uhuru na swala la kuunda tume lipo chini ya wizara yake sasa yy ndo boss wa iyo wizara unataka amshirikishe nani tena?Naunga mkono hatua ya Rais. Nape kwa sababu za utoto wake alivika joho ambalo si size yake. Inakuwaje Waziri anaunda Tume bila idhini ya boss wake, anasoma repoti na kutishia kuwa atajiuzulu kama mambo hayakwenda unavyotaka. Collective responsibility iko wapi?
Nape sought to fight coz Makonda alikuwa hasimu wake tangu enzi za uvCCM, hakuwa ana fight haki, bali personality ya Makonda.We unadhani Nape hakufahamu kwamba hiki kingetokea?! Alichokataa Nape ni kuendelea kumtumikia Dikteta lisilo na aibu ambalo lipo tayari kufanya lolote kumlinda mtu ambae anaaandamwa na kashifa kila kukicha!!!
Kuna wengine amewatumbua kwa sababu za kijinga kabisa lakini kumbe, kwenye serikali hiyo hiyo wengine hawaguswi!! Nani anayejitambua amaweza kuwa tayari kuwa sehemu ya udhalimu kama huo!!!
But all in all, wengine tunafurahi manake anaendelea kuionesha sura yake halisi ambayo Matomaso walikuwa hawaioni!!!
dah majibu ya report yetu cjui tutayapata kwel au ndo nayo imetumbuliwa na NnapeJana hakua na sababu za kujiuzilu kwakua report haikufanyiwa kazi.
It will never happen!nawaza tu kwa mfano Nape akamkabidhi Mwakyembe ile report na Mwakyembe akaendeleza hii saga kwa kumkabidhi mkulu....nawaza tu
haya sio mambo ya kushabikia wala kufurahia hii inaonesha mkuu ana tatizo na ni wakati sasa wananchi kwa ujumla tuseme hatukubaliani tusiposema leo kesho kitafanywa kitu kikubwa zaidi tutazitamani siku za uhuru wetu na maisha yetu ya haki
yani watu watumie vyeo na mabavu kufanya maovu mkuu wa nchi akingie kifua?
hii si sawa
Mkuu hawanisumbui hata kidogoSave your breath.
Watu kama huyo hawana thamani kukufikirisha.