Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

Sielewi nchi hii yaelekea wapii.!!
Mtu anaposimamia haki na ukweli anaonekana adui wa taifa!!
 
Kama mabadiliko niliyosikia ni kweli,

Pole Nape kuna watu na binadamu na hao ndio watu wenyewe, ulipigana sana ndani na nje ya chama chako ili Magufuli apate urais, ulipigana na mafisadi ili chama kiwe safi ukafanikiwa kumtoa Lowassa ili Magufuli awe rais, wahenga wakisema tenda wema nenda zako na shukrani ya punda ni mateke.
Ni kweli nimemsikia Msigwa akizungumza Na Clouds Fm
 
Haki ipo wapi hapa, Nape kutimiza wajibu wake katolewa uwaziri, huu kweli ni utawala wa kisheria kwa Watanzania. Ukweli ni kwamba Tanzania bado sana na tusipoangalia tutajikuta tunakuwa Tanzania yenye makundi makundi. Na hapa nini tunajifunza; Ukionekana unatetea haki ya mwananchi unapigwa panga, Hii ni hatari sana.
 
mkuu anajua mwakyembe ni mtu wa kujipendekeza, asie jiamini sasa amempeleka pale kwenda kuwatishia wana habari kama alivyojaribu kuwatisha mawakili, mwakyembe always ni mtu wa kutumika tu kwa maslahi ya wakubwa.
upo mkuu....toka Lema ametoka gerezani umeadimika sana
 
Duu nape ka pigwa chini kisa bashite.
Mkuu Bagi huyu Daud sijui kampa nini yule mzee kipara, maana hata juzi kwenye ukurasa wake wa face book alimtahadharisha Nape kuwa ataondoka yeye na yeye atabaki, nini kinachomfanya huyu dogo ajiamini kiasi hiki?? Watanzania kazi tunayo.
 
Back
Top Bottom