Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

Kwenye nchi au hata nyumbani kwako kila mtu akiwa baba nyumba haitatawalika..safi sana magufuli maana ukimaliza mihula yako ya urais tutakuhukumu wewe..wala si waziri wala si spika wala si jaji mkuu.
Ni sawa lakini hata kwenye kikao cha familia ambacho 'mwenyekiti' daima ni baba haimaanishi kwamba akikosea usimkosoe, huko ndio kujenga. Kumbuka Nape hajamkosoa rais bali hajaridhika na mienendo ya subordinate mwenzake kitu ambacho hata tulio na akili ndogo tunakiona.
 
Kama wanafunzi tu waliweza kuandamana kumng'ang'ania mwalimu wao aliyekuwa akiamishwa kinyemela.
Watanzania tunashindwa vipi kwa waziri aliyetuongoza kwa weledi na uaminifu uliotukuka
Andamana hapa JF barabarani utavunjwa miguu dogo!
 
Alafu mitanzania ilivo hovyoo 2020 wataimbs tena sisiem mbele kwa mbele
 
Nape pumzika zako kwani nini , huwezi kuwa na madaraka alafu yanaingiliwa kiboya achana nao sio ishu wala nini fanya mengine ya msingi zaidi... watu wanatumia madaraka kama uungu. Wanataka ukweli uwe uongo na uongo uwe ukweli.
 
Ninavyomjua Kinana na upuuz huu wa mkuu ataachia ngazi mda si mrefu, wapi kangi lugola, wape msukuma, wapi Bashe hapo vipi atawakondesha huyu mtu.
 
Kazi uliyoifanya mh.Nape tumeipenda hata yale ya zamani tumeachana nayo tumekupenda ghafla.Karibu upande wa pili.
 
Back
Top Bottom