Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

Wali Unanunua Mchele Wa Grade A Hauna Chuya,mawe Wala Pumba Unauosha,unaweka Kwa Rice Cooker,unaweka Mafuta Maji Chumvi,funika Nusu Saa Tiyari
 
Kwa mabachela wanaishindwa kupika wali. Tumia hesabu ndogo tu. Si lazima uwe na rice cooker. Kiasi cha maji ya kupikia mchele ukaiva ni mara mbili ya kiasi cha mchele unaotaka kuupika. Kama umepima kikombe kimoja cha mchele (level), basi pima maji kwa kikombe hicho au kingine chenye ujazo huo. Kumbuka kupunguza moto mchele unapokaribia kuiva.

Kumbuka, kuna grades mbalimbali za mchele. Utaratibu huu unaweza ukakataa kwa baadhi ya mchele. Ila, siyo kwamba hautaiva, unaweza kuwa boko kidogo au ukapungukiwa na maji kodogo. Soma mazingira haya halafu utaamua ama kuongeza au kupunguza maji kidogo.

Hakuna sababau ya kula tena wali bokoboko au ambao haujaiva vizuri.
 
Nusu saa mbona mbali sanaaaa,,dakka kadhaaa tu kitu tayar.
 
Sometimes it feel good kula kile mkono wako binafsi umeandaa. Mimi ilinibidi niende extra mile ya kujifunza kupika kama nilivyokuwa navila home baada ya kuwa nalalia kiepe kila siku kutokana na kuona vyakula vya mitaani siridhiki navyo.
Na chakula ukpka mwanaume ukikila unakiona tu cha kawaida lakn kikipkwa na mdada ni balaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom