Alicho Andika Huyu jamaa Hapa Jamii forum ni upotoshaji kwa vijana na watu wengine ambao huheshimu uzoefu wa wengine.
Jamaa Kaandika haya:-
"Kwa bao la kwanza hapa tunaongelea dk 1 hadi 1 na nusu..
Sasa nguvu za kiume ni uwezo wa kuamsha dude fasta baada ya bao la 1...
Wenye nguvu za kiume kamili huwa wanaendelea kabisa bila kutoa.
Wenye nguvu moderate huwa wanapumzika kama dk 2.
Wale goi goi au wanaume wa dar wakipiga kamoja huwa wanapumzika hadi saa zima au masaa 24 kabisa..
Lakini hizi hadithi za alfrela ulela kwamba bao la kwanza mtu upige nusu saa huo ni uongo au ni editing kwa lugha ya kiaskofu..
Bao la kwanza physiological halizidi dk 5...ukizidisha hapo una ugonjwa na hatari ya kupata tezi dume kabla ya miaka 30"
Ukweli Kutokana na uzoefu wa Ten Dee [Man Himself]
"Raha utoe kwanza upumzike ilale kabisa ndio uanze Raundi ya Pili. Penzi sio kama bublish ni kama mua. Ukianzi tindini basi rahaaa hadi kwenye Shina. (Kibo, Juu kabisa) Ukiunganisha ni sawa na baada ya kufika shinani unaaza tindini ghafla. Havinogi hatah.
Kushikana shikana na kupandishana ashiki huongeza muda utumikao kwa raundi. Ukiiga Swaga za bwana Jogoo matokeo ni kama yake"
Almost Man himself natumia Dakika 3.5 hadi Sita kwa goli la kwanza. Lakini pia siku hazilingani
Wapuuze sana watu wanakusudia kukufanya ujione unamapungufu wakati unaamini unafanya vyema na mwandani wako haleti malalamiko. Kujiamini humjenga mwanaume.
Kuna pia Mashoga ambao ukweli wanatamani kuwa kama wewe na hilo hawawezi, Wanachofanya ni chokochoko tu. Si unajua wivu wa sizitaki mbichi hizi unavyokondesha?"

...naamini kuwa sijafika huko kwa mkongojo lakini nipo kwenye nyakati zile ambazo shughuli inaweza ikawa ni mara mbili tu kwa juma na mimi na bibienu tuna Amani.
) 