Well done kamati kuu kwa kutoa msimamo huu ambao tuliutegemea.
Huyu dogo Adam Chagulani nilishajua siku zake ndani ya Chadema zinahesabika, hatimaye yametimia.
Kazi kubwa iliyopo ni kuhakikisha Jijin la Mwanza linapata viongozi mahiri watakaoweza kwenda na kasi mpya ya mahitaji ya kisiasa kwa sasa.
Kuisusia TBC. Hebu naomba kueleweshwa zaidi hapa..
1,2,3,4 safi1.Uwajibikaji wa kisiasa wa viongozi wa serikali na idara zake.....
2............maaskari waliouwa wakamatwe mara moja na kufunguliwa mashitaka
3.Rais aunde tume huru ya uchunguzi wa vifo tata .....
4.Msajili wa vyama vya siasa John Tendwa ni mtu hatari kwa taifa.....
5.TBC TAIFA Television na Redio ni hatari kwa taifa,...
6.Jeshi la Polisi lijue kuwa Maandamano ndiyo siasa yenyewe....
......
Labda ueleweshwe maana ya kususa! TBC huijui?