Maaskofu Watoa Waraka Mzito

sema waraka wa kkt n anglicana,ukitaja maaskofu tu maaskof wa ukwel TEC lazima wawepo!
xx hapo huo waraka wenu uspecify!;so unakurupuka tu askofu!maaskofu!;hat gwajima ni askofu mtukanaji ni mwizi wa wanawake wa watu
 
Cc: Otorong'ong'o njoo uone jinsi ilivyo vyema na kupendeza wakristo kuongozwa na PHD Holders.
Haa ha ha ha, we jamaa wewe una maneno sana.

Nimeusoma waraka wao, kweli wameandika kwa busara na hekima sana. Kumbe tunacho kipigia kelele wengine na viongozi wa CCT wamekiona; thanks watumishi wa Mungu.
 
sema waraka wa kkt n anglicana,ukitaja maaskofu tu maaskof wa ukwel TEC lazima wawepo!
xx hapo huo waraka wenu uspecify!;so unakurupuka tu askofu!maaskofu!;hat gwajima ni askofu mtukanaji ni mwizi wa wanawake wa watu
Ukitaka kuelewa soma habari nzima na ukiwa na akili timamu siyo ukiwa upiga eagle kwanza.
 
Ha ha ha hujajua wewe,,,,umeshawah kusikia Leo hatutoi sadaka? Kelele nying ni sadaka tu kutwa kucha,,, nasema kwa uzoef nilio nao juu ya kuwapiga watu hela maana nimefanya haya kwa vitendo....
Mambo haya ya SADAKA unayoyapigia kelele ni ya Kibiblia au ya kwao? Ukiona SADAKA inakuuma kutoa, acha tu kwenda kanisani, simple. Wanao toa, wanatoa kwa hiyari yao wenyewe na pia wanajua kwamba sehemu ya sadaka hizo ni mishahara ya hao unao walalamikia, usicho kipenda wewe sio lazima na wengine wakichukie.
 
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar......sisi tuko nyuma yako na huu waraka tunauona ni MUJARAB na umekuja wakati muafaka.Wewe ukiwa pia kama Mwenyekiti wa kamati ya Amani...tunakusubiri utupe muongozo.
 
Naona wakatoliki wamegoma kusaini huo waraka sijui inaleta picha gani hii.
Katoliki siyo sehemu ya CCT wao wana TEC na wapentekoste wanao umoja wao then ndiyo kuna umoja wa jumla unaowajumisha TEC, CCT na Pentecoste
 
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar......sisi tuko nyuma yako na huu waraka tunauona ni MUJARAB na umekuja wakati muafaka.Wewe ukiwa pia kama Mwenyekiti wa kamati ya Amani...tunakusubiri utupe muongozo.
Huyu anajengewa ofisi hawezi kuongea chochote
 
Ha ha ha hujajua wewe,,,,umeshawah kusikia Leo hatutoi sadaka? Kelele nying ni sadaka tu kutwa kucha,,, nasema kwa uzoef nilio nao juu ya kuwapiga watu hela maana nimefanya haya kwa vitendo....
Kutoa sadaka ni sehemu ya Ibada ya kikristo

Ila je, Waliwahi kukulazimisha kutoa sadaka?
 
Wale wajengewa ofisi wao ni kuunga mkono serikali tuu awajui kushauri wala kukosoa.tatizo lao linajulikana lakini ni elimu elimu elimu.wana elimu ya madrasa pekee.
Elimu wanayo saana..tatizo wanapenda kuwa low profile.... BOT NSSF TRA ni baadhi ya taasisi zilizofanya vizuri chini ya viongozi waislam hata wizara ya fedha na ZNZ kwa ujumla
 
Wewe mfuasi wa bwn. Mudy wa mecca nimekuambia hivii:

NyokoNyoko ni zile za wale wafia ubwabwa wa manjano na amira.

Wale hawawezi kuwa PHD holders sheikh
Phd za kuliangamiza taifa? Kamwambie Kilaini arejeshe jasho la watanzania kwanza ndo waje na nyoko nyoko zao, vinginevo wanyamaze maslahi yao yanalindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…