Maaskofu wataka maamuzi magumu ya busara yatumike kuinusuru Zanzibar

Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
5,911
7,827
Jambo hìli limeelezwa na Askofu Ruaichi katika misa takatifu ya kumsimika askofu mteule . Je maaamuzi magumu ni yepi?
 
Jambo hìli limeelezwa na Askofu Ruaichi katika misa takatifu ya kumsimika askofu mteule . Je maaamuzi magumu ni yepi?

Kuna baadhi ya maaskofu wanajulikana kabisa kuwa ni UKAWA.Juu ya majoho wanavaa misalaba ndani ya majoho wana kadi za UKAWA
 
Umeandika utumbo mtupu

Huyo askofu Ruwaichi ni mchaga wa kilimanjaro kauli zake huwa hazitofautiani na Za mbowe kwenye mambo ya siasa.Rejea kauli zake wakati wa bunge la katiba kauli alizokuwa akitoa huyo askofu.Msimamo wa CHADEMA ndio ulikuwa msimamo wake wa hadharani.
 
Kazi ya kiongozi wa kiroho ni kukemea maovu wacha kutaka kutulazimisha kukubali pumba zako wewe
 
Minyumbu ndio kawaida yap baba askofu akisema ukweli anaonekana ukawa dah kuzaliwa africa ni majanga
 
Kumsema vibaya baba askofu ni kujitafutia laana tu
hayo yamesemwa mbele ya Jenesta Mhagama ambaye alitoa mawaidha yake akitetemeka sijui sababu, alibakia amani jukumu la kila mmoja na kukwepa hoja kuu
 
Huyo askofu Ruwaichi ni mchaga wa kilimanjaro kauli zake huwa hazitofautiani na Za mbowe kwenye mambo ya siasa.Rejea kauli zake wakati wa bunge la katiba kauli alizokuwa akitoa huyo askofu.Msimamo wa CHADEMA ndio ulikuwa msimamo wake wa hadharani.
Kwani akiwa na msimamo sawa na Wa CDM kuna shida hasa kama msimamo huo ni wa haki,,,,kwa mfano suala za zenji huhitaji elimu kufikir serikali ndio wanasababisha mambo hayo kutokea.kama katiba ingekua c kwa ajili ya watawala kile kipengele cha kuhoji matokeo mahakamani kingewanusuru safari hii huko zenji,,,sasa kwa kua waliweka kipengele cha matokeo ya rais kuto hojiwa na chombo chochote ndio maana wakaamua kufuta isivyo kisheria,,,,
 
Back
Top Bottom