Maaskofu TEC: Tulitahadharisha yanayotoea

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
4,780
Reaction score
3,228
Ujumbe wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania(TEC) uliotolewa na maaskofu hao baada ya kikao chao cha mkutano wa 65 uliofanyika Kurasini DSM na kusomwa na Rais wa TEC Mhashamu Thaddaeus Ruwa'achi (sasa amemaliza muda wake) unasema kwa nyakati tofauti wameziandikia mamlaka husika (serikali) na kushauri namna ya kuzuia kuibuka vurugu za chuki za kidini wakapuuza na sas madhara hasi yanaonekana.

source :kiongozi 6-12 july 2012
 
Serikali ilipuuza kwasababu wanamaslai na udini kwenye hili taifa. Due to that ni lazima tujipange kukabiliana na udini huu.
 
Wakwepa KODI through MOU! Hamna lolote!
 
Maaskofu wa TEC na jumuiya nyingine ni greater thinker wameelimika wakastaarabika sana ni watu makini wana upeo mpana sana wana tofauti sana na wenzagu fulani ambao ni wachumia tumbo hawana uwezo ata wa kumudu maisha yao binafsi na pia wana elimu ya darasa la saba majority sasa mpaka hapo unategemea nini ndo mana wanashikiwa akili sana ili familia zao zipate kuishi.
 
Serikali dhaifu LAZIMA ijifiche kwenye pango la UDINI.
 
Tayari kimenuka, looooooooooh!
 
Serikali ilipuuza kwasababu wanamaslai na udini kwenye hili taifa. Due to that ni lazima tujipange kukabiliana na udini huu.
Serikali ya CCM inalinda wapiga kura wake watiifu...na ndiyo maana tunaona waeneza chuki wakitamba bila kudhibitiwa...yana mwisho haya...!
 

nadhani wangalitoa UFAFANUZI WA MABILION YA MOU yanatumika vipi huku hosptal zao zikigoma. hapa watz tutamuelewa
 
Kweli kabisa Walidiliki kusema ni chaguo la Mungu,walifanya kosa kuangalia maumbile ya nje,Kama Samuel alivyofanya Kwenye kitabu cha biblia
 
 
nadhani wangalitoa UFAFANUZI WA MABILION YA MOU yanatumika vipi huku hosptal zao zikigoma. hapa watz tutamuelewa
Jiulize ni nani kati ya Serikali ya Mwinyi(1992) au Kanisa aliyemnyemelea mwenzake na hivyo kusababisha kusainiwa kwa MoU? Na ukilijua hilo utajua pia sababu ya kusainiwa kwa MoU na hayo malalamiko yenu yote mnatakiwa kuyapeleka kwa serikalini tu... Lakini kwa sababu za chuki zenu za kidini mbaya wenu siku zote ni Kanisa tu...
 
 
Wakwepa KODI through MOU! Hamna lolote!

.
Nyama na tende mnazokirimiwa na mataifa rafiki hamlipi kodi japo ni kiduchu. Ingekuwa je kama mngekuwa na akili ya miundo mbinu endelevu ambayo ingelipelekea muingize mizigo ya thamani kubwa nchini? Ikiwa ya tende hamlipi? (kukwepa?) TAFAKARI!!
.
 
Reactions: pig
Yaani kama sio hizo taasisi nchi hii ingekuwa na kazi kubwa kujijenga Angalia MASHULE NA MAHOSIPTALI WALIYOJENGA NA KUIACHIA SERIKALI.PIA BIANAFSI SIKUONA WALIPOKOSEA TEC KUITAHADHARISHA SERIKALI NA MAMBO YALIOTOKEA. LAKINI PIA TEC HAWAKUSEMA NI CHAGUO LA MUNGU NA HAWATASEMA HIVO KWA YEYOTE AJAE KWANI SI KAZI YAO.
 
Maaskofu hao wamesoma sana! Na wanatoa ushauri wakisomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…