Ili padri apewe daraja la uaskofu sharti apewe jimbo. Hivyo askofu ni askofu wa jimbo fulani a.k.a jimbo mahalia.
Askofu Kilaini ni askofu msaidizi wa kanisa katoliki jimbo la Bukoba.
Ukitaka kutoa msaada wako wa fedha au vifaa, unatoa kwa kanisa katoliki jimbo la Bukoba. Kama ni hundi au Telegraphic Transfer a.k.a TT inatumwa kwenye akaunti ya kanisa katoliki jimbo la Bukoba au kama ni jimbo la Dar Es Salaam basi unatuma huko.
Na hata kama unataka kutoa sadaka ya kiwanja, lazima itafanyika transfer kutoka kwenye jina lako na kuwekwa kwenye jina la kanisa. Hauwezi toa sadaka yako kwenda kwa askofu Kilaini au askofu fulani. Huo ndiyo utaratibu wa kanisa katoliki.
Bunge katika mjadala wake, litamke waziwazi kwamba hawa maaskofu wafunguliwe mashtaka ya jinai. Kufanya hivyo siyo kuingilia mhimili wa mahakama kama Mheshimiwa Makinda anavyodai. Tunaona kwamba ni innocent ila tunawapeleka mahakamani ili mahakama either iwa exonerate au iwa convict.
Jambo lingine nikwamba, kanisa langu katoliki Tanzania, halina tena usafi tena wa kuinyoshea kidole serikali sababu watumishi wa serikali wasio waaminifu wanashirikiana na maaskofu wasio waaminifu kuhujumu mali ya umma. Zile pesa za Escrow ni za umma. Kama siyo za umma, kwanini kampuni binafsi inawagawia fedha viongozi wa umma? Ni ujira kwa kazi gani?
Huko nyuma Kilaini aliwahi kupelekwa nje kutibiwa kwa pesa za kiongozi wa serikali. Je kanisa katoliki lilikosa pesa ya kumtibia askofu huyu. Kanisa lijichungeze. Je nikwanini maaskofu hawa waliopokea pesa za ESCROW wote ni wale tu wasaidizi wa Pengo? Japo Kilaini kahamishwa lakini katokea kwa Pengo. Huyu mwingine ni msaidizi wa Pengo. Je Pengo kwanini anapendekeza wasaidizi wenye kasoro kimaadili?
Kanisa katoliki Tanzania tumechafuka
Mwizi ni Mwizi tu bila kujali kaiba Kiasi gani.Hela waliyopewa maaskofu ni takribani milioni 160. Hiyo ni hela ndogo sana ambayo pengine hata wakiambiwa watairudisha hapo hapo. Tukumbuke Singasinga amechota bilioni 306
Hela waliyopewa maaskofu ni takribani milioni 160. Hiyo ni hela ndogo sana ambayo pengine hata wakiambiwa watairudisha hapo hapo. Tukumbuke Singasinga amechota bilioni 306
Ili mtu afunguliwe mashtaka ya jinai, lazima kuwepo kosa la jinai. Ni vyema ukaisaidia mahakama kuonyesha kosa la jinai lililofanyika hapo.
Halafu wait a minute, hivi JK hawezi kukabidhiwa hela aifikishe kwenye taasisi fulani, say ya watoto yatima, bila kulazimika kuweka hela kwenye akaunti ya kituo hicho?
pesa ya ruge haiwezi kuwa halali kama imetoka kwa singasinga ambaye tunamsema alijipatia fedha isivyo halali.Nimekua makini kufuatilia ila mpaka mwisho nimegundua kitu kimoja tu ambacho huenda kinaleta mkanganyiko kidogo. Hivi bungeni kuna sehemu umeona wanasema pesa za Rugemalira ni haramu?
Zaidi wengine wameishia kumpongeza kwa jinsi alivyolipa kodi na mengineyo. Kwa njia hiyo pesa yake haina tatizo lolote zaidi ya sisi wananchi kupiga kelele tu. Na mpaka hapo kama ni skendo limwangukia singasinga ambaye najua serikali haiwezi kumfanya lolote.
Sasa kinachonipa utata kama pesa za Rugemalira ni halali na hazina tatizo lolote inakuwaje waliopewa pesa na tajiri huyo waingie hatiani? Nisaidieni ufafanuzi kidogo.
Hapa naona mwenye kosa zaidi ni Bank ya Mkombozi kufanya miamala mikubwa kinyume na sheria. Kwani sheria iko wazi hauruhusiwi kutoa cash ya kuanzia milion 10 na kuendelea.
Ili padri apewe daraja la uaskofu sharti apewe jimbo. Hivyo askofu ni askofu wa jimbo fulani a.k.a jimbo mahalia.
Askofu Kilaini ni askofu msaidizi wa kanisa katoliki jimbo la Bukoba.
Ukitaka kutoa msaada wako wa fedha au vifaa, unatoa kwa kanisa katoliki jimbo la Bukoba. Kama ni hundi au Telegraphic Transfer a.k.a TT inatumwa kwenye akaunti ya kanisa katoliki jimbo la Bukoba au kama ni jimbo la Dar Es Salaam basi unatuma huko.
Na hata kama unataka kutoa sadaka ya kiwanja, lazima itafanyika transfer kutoka kwenye jina lako na kuwekwa kwenye jina la kanisa. Hauwezi toa sadaka yako kwenda kwa askofu Kilaini au askofu fulani. Huo ndiyo utaratibu wa kanisa katoliki.
Bunge katika mjadala wake, litamke waziwazi kwamba hawa maaskofu wafunguliwe mashtaka ya jinai. Kufanya hivyo siyo kuingilia mhimili wa mahakama kama Mheshimiwa Makinda anavyodai. Tunaona kwamba ni innocent ila tunawapeleka mahakamani ili mahakama either iwa exonerate au iwa convict.
Jambo lingine nikwamba, kanisa langu katoliki Tanzania, halina tena usafi tena wa kuinyoshea kidole serikali sababu watumishi wa serikali wasio waaminifu wanashirikiana na maaskofu wasio waaminifu kuhujumu mali ya umma. Zile pesa za Escrow ni za umma. Kama siyo za umma, kwanini kampuni binafsi inawagawia fedha viongozi wa umma? Ni ujira kwa kazi gani?
Huko nyuma Kilaini aliwahi kupelekwa nje kutibiwa kwa pesa za kiongozi wa serikali. Je kanisa katoliki lilikosa pesa ya kumtibia askofu huyu. Kanisa lijichungeze. Je nikwanini maaskofu hawa waliopokea pesa za ESCROW wote ni wale tu wasaidizi wa Pengo? Japo Kilaini kahamishwa lakini katokea kwa Pengo. Huyu mwingine ni msaidizi wa Pengo. Je Pengo kwanini anapendekeza wasaidizi wenye kasoro kimaadili?
Kanisa katoliki Tanzania tumechafuka
Wakatolik bwana kwa kuish kwa dhehebu hawajmbo
Hii benki ipo kisheria kabisa. sama hii taarifa hapaMKOMBOZI BANK nayo ifutiwe usajili ni DESI mpya.
Kanisa langu Katoliki limechafuka na kuonesha mifumo yake imefeli kutuondolea huu upuuzi.......tunasubiri hatua kali na si ujanja ujanja.......
Jambo lingine nikwamba, kanisa langu katoliki Tanzania, halina tena usafi tena wa kuinyoshea kidole serikali sababu watumishi wa serikali wasio waaminifu wanashirikiana na maaskofu wasio waaminifu kuhujumu manani za umma. Zile pesa za Escrow ni za umma. Kama siyo za umma, kwanini kampuni binafsi inawagawia fedha viongozi wa umma? Ni ujira kwa kazi gani?
Mi nadhani tuanzie hapa. Je walilipwa ujira gani? Hili hamna aliyetayari kujibu maana itatibua siasa na kuweka uhalisia. Ndiyo maana haisemwi alilipwa bali zito anasema waligawana. pia hawasemi account ni ya nani bali waliogawiwa hamna document inayotaja account name bali namba na majina ya wqnayoiservice. wenye ushahidi wa hili ni mabenki husika na wenye waliotajwa kugawiwa fedha.
Kuhusu kanisa nadhani ni swala la kujiuliza tu ni kanisa linaendeshwaje? Basi na si zaidi.
Swala la Kilaini kwenda kutibiwa sishangai kwani yeye ndiye kiongozi wa dini pekee kutubiwa kwa fedha za srrikali? Au kwasababu alisema JK ni chaguo la Mungu kwa mujibu wa maelezo ya humu? Swala la eskrow linaendeshwa kisiasa na litaisha kisiasa.
Kanisa ni waumini na viongozi wao, au? How do you separate Kilaini from the church!Uwez ukawa mzima ww
Kanisa ndo lililo iba au?
Naona umehama kutoka kwenye mada na kuanza kulishambulia kanisa. pole sana ref: Yesu akasema "Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda. Nami nitakupa wewe funguo za ufalme; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo loteutakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni. (Mathayo 16:18-19)
Sharti alilotoa mfadhili wao (Ruge) ni kwamba kila aliyemuomba fedha awe ana akaunti Mkombozi Bank (kwa ajili ya urahisi wa kuhamisha fedha). Si rahisi Jimbo la Bukoba likawa na akaunti Mkombozi bank, ukizingatia ina brances Dar na Mwanza tu. Lakini viongozi na watumishi wa Kanisa waliopo na waliowahi kuwapo Dar wengi wao wana akaunti zao Mkombozi Bank. Nadhani hapo umenielewa nnataka kusema nini... Au hazina akaunti zao za taasisi?
Umejuaje kama wameitumia? Hela walizo nazo za matumizi ya kawaida sio shida kwa mapadre na maaskofu wa Katoliki kwani matumizi yao si makubwakwa hiyo unataka ku justify kitu gani? walistahili kuchukua? na hiyo pesa ya kurudisha hapo hapo wataitoa wapi? kwenye fungu la sadaka za waumini?.. tumia akili uchangiapo sensitive issues
Huyo Gavana wa BoT aliyezitoa hizo fedha hajaguswa, nani ataguswa kwa kupokea?... Kikubwa Si kurudisha walichoiba tu, bali pamoja na kuburuzwa mahakamani.