Sharti alilotoa mfadhili wao (Ruge) ni kwamba kila aliyemuomba fedha awe ana akaunti Mkombozi Bank (kwa ajili ya urahisi wa kuhamisha fedha)
Si kweli hapa ni kwakuwa Mkombozi ndio vinara na wanaoujua huo umafya wa utakasishaji Pesa hii yenye element ya uharamu.
Si rahisi Jimbo la Bukoba likawa na akaunti Mkombozi bank, ukizingatia ina brances Dar na Mwanza tu
Aibu gani hii, Kwahiyo inachukuwa miaka kwa taasisi kufungua akaunti ndio maana wakaamua kuweka kwenye akaunti za viongozi hawa? Kwanini taasisi isingefungua akaunt na kisha wakawa wanahamisha kwenyenda kwenye akaunti za mabenki ambayo yana matawi jirani na jimbo lao? Ondoa upofu!.
Lakini viongozi na watumishi wa Kanisa waliopo na waliowahi kuwapo Dar wengi wao wana akaunti zao Mkombozi Bank. Nadhani hapo umenielewa nnataka kusema nini
Kwahiyo kiongozi akiwa anaanzisha taasisi basi asilazimike kufungua akaunti kuondoa usumbufu. Hueleweki, Na hutaeleweka.Mwenye kutetea Wizi tu ndie anaeweza kukuelewa- Kanisa linachakujibu hapa.