G Gulwa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2008 Posts 11,168 Reaction score 17,565 May 4, 2025 #1 Maaskofu wa Kenya walikataa na kumrudishia rais Ruto pesa aliyoitoa kusaidia kanisa kwa kuogopa kuweka uhuru wao rehani. Leo tumesikia Samia akimpa askofu wa Bagamoyo zawadi ya milioni 20. Hii sio rushwa ya kumfunga mdomo na kupora uhuru wake? Igeni wenzenu wa Kenya
Maaskofu wa Kenya walikataa na kumrudishia rais Ruto pesa aliyoitoa kusaidia kanisa kwa kuogopa kuweka uhuru wao rehani. Leo tumesikia Samia akimpa askofu wa Bagamoyo zawadi ya milioni 20. Hii sio rushwa ya kumfunga mdomo na kupora uhuru wake? Igeni wenzenu wa Kenya
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 8,347 Reaction score 16,025 May 4, 2025 #2 Hii ni rushwa Kanisa KATOLIKI la Kenya lilisema hatuwezi kupokea fedha ili kumnufaisha mwanasiasa ,Kanisa katoliki tunataka taarifa ya kanusho kupokea fedha za Samia ,KANISA KATOLIKI HAWANA SHIDA NA FEDHA NAOMBA MZIRUDISHE KWA UWAZI
Hii ni rushwa Kanisa KATOLIKI la Kenya lilisema hatuwezi kupokea fedha ili kumnufaisha mwanasiasa ,Kanisa katoliki tunataka taarifa ya kanusho kupokea fedha za Samia ,KANISA KATOLIKI HAWANA SHIDA NA FEDHA NAOMBA MZIRUDISHE KWA UWAZI