Niko hapa Kawekamo Mwanza kuhudhuria sherehe za kumsimika Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa'Ichi.
Mwakilishi wa serikali amekuja Waziri Stephen Wasira.
Katika hotuba yake Wasira dakika tano zilizopita kawaambia maaskofu kwamba 'serikali ikielekea kuvunja amani ikemeeni bila woga'
Mbona serikali ya jk ipo so disintegrated!! Viongozi waandamizi kama mawaziri wanatoa kauli zinazopingana!! Hii ni dalili tosha ya kuchokana na ubabaishaji ndani ya serikali. Wakati wa mkapa usingesikia kauli za mawaziri zikipingana kiasi hico.
niko hapa kawekamo mwanza kuhudhuria sherehe za kumsimika askofu mkuu wa jimbo kuu katoliki la mwanza, mhashamu jude thaddaeus ruwa'ichi.
Mwakilishi wa serikali amekuja waziri stephen wasira.
Katika hotuba yake wasira dakika tano zilizopita kawaambia maaskofu kwamba 'serikali ikielekea kuvunja amani ikemeeni bila woga'
Niko hapa Kawekamo Mwanza kuhudhuria sherehe za kumsimika Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa'Ichi.
Mwakilishi wa serikali amekuja Waziri Stephen Wasira.
Katika hotuba yake Wasira dakika tano zilizopita kawaambia maaskofu kwamba 'serikali ikielekea kuvunja amani ikemeeni bila woga'
a divided hous can not stand
mkuu . ...hawa wanaonyesha kuanza kuungama....unaonaje tuwasamehe saba mara sabini.... halafu tuwarudishe kundini..six.., Wasira.., na EL
Ni mambo ya siasa tu mbona kila wakikemea wanasiasa wanawapaka eti "waachane na siasa?
hii nchi banaaaaa,aaagh! Wakisema mnasema wavue majoho,wakinyamaza vibaya,sasa lipi jema?
mkuu . ...hawa wanaonyesha kuanza kuungama....unaonaje tuwasamehe saba mara sabini.... halafu tuwarudishe kundini..six.., Wasira.., na EL
Waingie kwenye kundi lipi mkuu?
ninamfahamu mary chatanda mzaliwa wa mkoa wa mbeya aliyewawahi kuwa katibu wa vijana wa mkoa wa iringa na mumewe ni katibu msaidizi wa ccm mkoa wa iringa. Upeo wa mary wa kufikiri ni mdogo sana. Hii imetokana na makuzi yake na kukosa elimu angalau ile tunayolaumu ya shule za kata. Alichojaliwa ni ujanja wa kung'ang'ania watu. Kama mtakumbuka wakati jk anaingia ikulu mara ya i huyu alikuwa sehemu ya timu ya kampeni ya ist lady akitokea morogoro alikokuwa katibu. Baada ya uchaguzi alikuwa mshauri wa mama kabla ya kuteuliwa kuwa katibu wa mkoa wa arusha. Nasema upeo wake wa kufikiri ni mdogo kwasababu ana illussion kuwa anaweza kufanya lolote bila kuonywa kwa connection hiyo. Ataendelea kuivuruga arusha kama alivyoivuruga morogoro na iko siku atasababisha matatizo makubwa zaidi ya haya yaliyotokea juzi. Ameacha pia zogo tanga watu wanamwangalia tu na kwa woga wakampa ubunge hii ni hatari.
Hatutaki kusemewa na kanisa wala msikiti ,kwani wengi wao hawa wanakula sahani moja na vigogo wa serikalini,ni wanaofanya kazi nyuma ya pazia.
Tunachotaka ni vyama vya siasa tu, ndio viwe mstari wa mbele katika kuvaana na serikali ,hawa wadini wakae pembeni ,ni vyama kwa vyama mpaka kieleweke.
Niko hapa Kawekamo Mwanza kuhudhuria sherehe za kumsimika Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa'Ichi.
Mwakilishi wa serikali amekuja Waziri Stephen Wasira.
Katika hotuba yake Wasira dakika tano zilizopita kawaambia maaskofu kwamba 'serikali ikielekea kuvunja amani ikemeeni bila woga'
CCM hiyo hiyo ya kikwete! Ni jambo la kushangaza viongozi wa serikali kutoa kauli za kupingana kila wakati!Ni ccm ipi iliyo sema maaskofu wakae mbali na siasa au zipo ccm nyingi?
Hawa watu naona wanatumia viongozi wa dini na kuwaacha kama condo*** baadae tu