Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,706
Josevert on fleek
Hahaha, boss!. Nawe waweza kuanzisha Mkuu. Mimi nimeanzisha ya watu waliokamata sana Headlines humu.
Haaa!!hivi kumbe mimi sipo kwenye list eee.haya sawaNi mawazo yangu tu Mkuu. Unaweza kutoa list yako, nani unahisi wali-tend sana humu mwezi June?