Wadau nimenunua tupa nilikuwa nanoa fyekeo(kwanja) na panga ila naomba maelezo ili kupata makali yenye ukali inatakiwa kunoa pande mbili au moja za hvi vifaa (panga na fyekeo)?
no i think that is a right place place coz kujua pia kuhusu sharpness ya vifaa inapatikana vp hyo pia ni science so mwenye idea ni vizur tukajulishana na kingine ni kwamba uzoefu unaosemea nnaouulizia unapatikana kwa mtu ambaye amewah pia kupractice maarifa flan so kama unaujuz na hlo ni vyema tukafahamishana.