Maandiko yanaanza kutimia taratibu

Maandiko yanaanza kutimia taratibu

neno ni upanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2022
Posts
682
Reaction score
2,293
Waovu hukimbia wasipofuatiwa na mtu; Bali wenye haki ni wajasiri kama simba.
Mithali 28:1

Yeye atailinda miguu ya watakatifu wake; Bali waovu watanyamazishwa gizani, Maana kwa nguvu hakuna atakayeshinda;
1 Samueli 2:9

Basi, iwapo watu waovu wamemwua mtu mwenye haki kitandani mwake, je! Sasa nisitake zaidi damu yake mikononi mwenu, na kuwaondoa ninyi katika nchi?
2 Samueli 4:11

Lakini macho ya waovu yataingia kiwi, Nao hawatakuwa na njia ya kukimbilia, Na matumaini yao yatakuwa ni kutoa roho.
Ayubu 11:20

Njia ya waovu ni kama giza; Hawajui ni kitu gani kiwakwazacho.
Mithali 4:19
 
Safi sana! Maharage yanayorukaruka jikoni hayaruki kwa kupenda au kwa kujitambua bali yanarukaruka kutokana na moto unaoyaunguza
 
Siasa za Afrika ni kutaguta madaraka tu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom