Maandiko yaliposema

Maandiko yaliposema

Naanza kuuelewa msemo wa chenge, nyinyi wanawake ni mijoka ya makengeza mnasaka pesa, sasa upewe pesa za nini wakati mko wote full time.

umewaza nje ya box sana,grit thinka
 
Mafarisayo walijua kuoa ni kitu rahisi sana,lakini Yesu alipowaelezea juu ya kuoa waliona in heri ya kutokuoa kabisa make walidhani ukioa unaweza ukamuache mwanamke na kuoa mwingine,kumbe sivyo kabisa! Mathayo 19:3_12
 
You will never satisfy a woman. Wengi walijaribu wakashindwa. Hapo mwanzo Adam alijaribu kumwonyesha eve kuwa anampenda kwa kula tunda la mti wa Kati.
 
You will never satisfy a woman. Wengi walijaribu wakashindwa. Hapo mwanzo Adam alijaribu kumwonyesha eve kuwa anampenda kwa kula tunda la mti wa Kati.
Tatizo hamjatuelewa na hamtaki kutuelewa na kamwe hamtatuelewa

spend less, save more
 
Sikio la kufa haliskii dawa
mwanamke kama hakutaki ndio bas tena.


halaf hivi yeye mwanamke akisha pewa hivi vyote yeye ana offer nini?
 
Back
Top Bottom