Maandiko yaliposema

Maandiko yaliposema

Ule mkataba wa Beijing naona unatakiwa ufanyiwe review. Hapa naona hata wahusika wakuu hawautaki huo mkataba.
Laiti kama wangekuwa wanakubaliana na huo mkataba nisingeona Hii thread hapa.

Naomba kuuliza mtoa mada, mwanamke yupi unamuongelea ? Wa kwenye ndoa au ambaye hajafunga ndoa?
 
Inategemea una moyo gani... Cha msingi ni PIGA TU,(PT) usihangaike nae hujamzaa we we.. Ukimegewa tafuta mnyonge ummegee... Mwanamke hana kanuni bandugu..
 
"Enyi wanaume Ishini na wake zenu kwa akili" Mungu alikuwa anajua anachosema,kama huna akili mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "women are so complicated". Wanawake huwa wanaongea vitu 'kirahisirahisi tu' lakini huwa vinamaanisha 'vitu vigumu ajabu' wanawake wanaweza kukwambia "mi nataka mwanaume anipende tu basii.

Ukidhani kwamba upendo wako unatosha kwake utakuwa umefeli wanawake wanahitaji vitu vi nne na vyote viiende kwa pamoja(Perpendicularly) vitu hivyo ni;

1.Hela
2.Good sex
3.Caring man
4.Muda

Kuna wanaume wanajua "kukaza vizuri" mwanamke anatosheka,na wana hela ila wako bize.Hii factor ya wewe kuwa Busy tu itamfanya mtu mwingine mwenye muda "amkaze kiulaini kabisa" halafu wewe utashangaa."Mke wangu nampa kila kitu,hela za kila kitu nampa.

Yes,amekaa muda mrefu uko bize unasaka hela na adui namba 1 wa mwanamke ni lolness. A lonely woman can easily be trapped by anyone,hata houseboy akimpa attention endlessly anakula mzigo unataka mwanamke awe wako peke yako.Fuata kanuni ishi nae kwa akili mpe muda,mpe hela, mpe kisago kitandani,mpe care na attention sikiliza maneno hayo 👆 uyatendee kazi.

Nawasiisha 🌹❤👆👆
hayo maadish hayamaanishi hivyo dada yangu, kwa uelewa wangu ni kuwa, hilo lilikuwa ni onyo kwa mwanaume aishi na mwanamke kwa kutumia akili kwa kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu, ni mwepesi wa kudanganyika.
Angalia hii
1. Eva alidanganywa na nywaka mwelevu (shetani) naye Eva akamganya Adam.
2. Sala alipoona anazeeka akamshawishi Ibrahimu amwingilie makazi ili apate uzao
3. Samson alidanganywa na delila atoe siri ya nguvu zake kisha akauawa
Mifano ipo mingi, Kwa hiyo ni rahisi sana kwa mwanamke kudanganyika, Hilo onyo linatuhusu wanaume kucheza vizuri na akili ya mwanamke. kwa kifupi wanaume tunakiwa kucontrol akili ya mwanamke. Kwa mfano wewe kama ungekuwa mke wangu nikutengenezee mazingira ya wewe kuniamini zaidi hadi ifikie kwamba kabla ya kuchukua uamzi wowote ule uniulize baba watoto vipi hiki kimekaaje na c vinginevyo. Ni maoni yangu lakini hahahahaaa!!!
 
Siwezi kuwa na mda wa kufanya upuuzi huo. Ww nenda kabanjuliwe tu ila nisikukute. Maana nikikukuta hutapendwa na mwanaume yeyote yule utaishia kutemwa mate....

Yaan nihangaike kukaa nyumban hizo hela zitaletwa na papuchi yako?
 
papuchi yako unampa kila mwanaume hivi unajisikiaje hapo? Kweli thamani ya mwanamke imeshuka kuna madada naona wanashabikia huu upuuzi wakutoka nje ya ndoa siyo bure mtakuwa mna laana kwenye familia zenu
 
hilo la muda wanaume wengi sana linawashinda wacha wachapiwe tu

unauhakika kuwa kila mwanamke akitimiziwa hayo mambo manne hawezi kutoka nje ya ndoa?..

Mwanamke kiumbe cha ajabu huko kujidanganya ndio maana wengi wenu wanaishia kuwa masingle maza..
 
Ule mkataba wa Beijing naona unatakiwa ufanyiwe review. Hapa naona hata wahusika wakuu hawautaki huo mkataba.
Laiti kama wangekuwa wanakubaliana na huo mkataba nisingeona Hii thread hapa.

Naomba kuuliza mtoa mada, mwanamke yupi unamuongelea ? Wa kwenye ndoa au ambaye hajafunga ndoa?

wa kwenye ndoa
ingawa mm ni mwanamke
 
napata pesa
napata care
naenjoy sex
napata time ya kuwa na ww
kwingine nikafate nn
 
Mwanamke ikiwa hajatulia hajatulia tu hata umpe na roho yako.Wako wapi ke wanaoweza kuvumilia ata miezi mitano bila ya kuliwa
Ivi ni kweli mtu aache baadhi ya kazi zake kwa ajili ya mwanamke?

Ua such briliant mkuu, can i propose please?
 
Kama utamfanyia hivyo vyote wasiwasi wangu ni kuwa unaweza kubadilika na kuwa yeye.

1. Pesa zako ziwe zake (wewe huna mipango tena hapo)

2. Muda wako umpe yeye (hapo unakuwa umeigia ndani ya yeye) huwi wewe tena

3. Umpe kitombo heavy (hapa ndio shida kuu inapokolezewa, huendi kokote, atm card anayo yeye kwa control zaidi, akikunyima puchipuchi unawehuka manake huna mmbadala, wanaume tuacheni ufala!!!!!! Makosa mwisho kwa Adam.
 
Primitive way of thinking..wewe endelea kufikiria hivyo..utaona maisha yatakavyokuendea..kwa sababu unaongea kama wale wanawake wanasubiri kufanyiwa kila kitu..lazy women..siku hizi wanawake wajanja nao wanajituma ili kutengeneza maisha bora kimapenzi sio kusubiri upate furaha kutokakwa mtu mwingine..pole sana
 
Back
Top Bottom