Maandamano Yenye Tija kwa Taifa

Maandamano Yenye Tija kwa Taifa

Cyclopedia

Member
Joined
Nov 11, 2015
Posts
25
Reaction score
41
Kibinafsi sikuunga mkono maandamano ya D9 kwa sababu zifuatazo:

1: Niliamini hakuna atakayeweza kutatua yale yote tuyatakayo ikiwepo samia kujiuzuru.

2: Mfumo uliopo sasa unaipa nguvu CCM kufanya walitakalo tena bila kupingwa hivyo kuandamana ni sawa na kazi bure kikubwa ni ku-risk maisha.

3: Hao tunaotaka wachukue nchi ukichunguza kiundani ni makada wa CCM so hatutakuwa tumesolve tatizo. (jwtz)

4: Kwanini tuandamane wakati kama tunavyosikia/Tunavyojionea kuwa Samia anachunguzwa na ICC tusubiri kwanza mahakama hiyo ije na raarifa ndo tujue cha kufanya.

NIONACHO MIMI..
Kwa sasa tufocus kupigania katiba mpya yenye mabadiliko ya 100% kama ilivyopendekezwa na warioba hili ndo litakuwa muarobaini wa matatizo yaliyopo Tanganyika kwa sasa.

Na mwisho napenda Tanganyika ifufuke toka mavumbini.
 
Nop, napingana na wewe.

Protest ni njia nzuri na ya uhakika kuwafukuza viongozi majizi na malaghai.

1. Protest inaonyesha wananchi hawakubaliani na serikali ya wauaji na psychopaths

2. Karika historia zote protest ndiyo njia inayotumika kupata haki.

3. Usitegemee utawatoa wauaji kwakuwachekea. Nguvu ya ummah pekee itawaondoa.

4. Nafahamu, unawasiwasi revolution inaingiliwa na mapandikizi, well inawezekana lakini ukae kwa kutulia yeyote atakaye kiuka katika au matakwa ya wananchi ataondolewa.

5. Viongozi LAZIMA waogope wananchi. Ndiyo nguvu ya ummah hiyo.
 
Hebu chukulia leo samia ametangaza kujiuzuru nini kinachofuata, si uchaguzi kufanyika utafanya uchaguzi kwa katiba inayokilinda chama kimoja
 
Back
Top Bottom