MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 6,545
- 11,660
Siku ikifika kila mtu atashika mkono wa Jirani yake, watashikana na kuunda mnyororo wa watu nchi nzima
SawaNdio VPN zitawashwa na yatanzia twitter then JF maandamano ya online yanapendeza sana
Nyamwi umekuaje sikuhizi?Ndio VPN zitawashwa na yatanzia twitter then JF maandamano ya online yanapendeza sana
Nimekua mzalendo mpenda amaniNyamwi umekuaje sikuhizi?
Hoja ya mvaa hijabu hii😁😁😁Ndio VPN zitawashwa na yatanzia twitter then JF maandamano ya online yanapendeza sana
UmemalizaaaaaKabla hamjashikana mikono physically kwanza mshikane kwa kuwa na common goals ya mnachogombania nacho ni issues ambazo zinamsumbua kila mtu.., na mjifunze kuangalia issues na sio kuangalia mambo kwa miwani za Uchama, Udini au hata Ukabila - hio ndio silaha wanayotumia watawala (WAO na SISI) Case in Point hata humu ndani mnapigana wenyewe kwa wenyewe....
Kwa nini wewe umeyafikiria hayo "mambo ya uchama, udini, ukabila", kuwa ndizo sababu za wanaopinga Samia na Genge lake wanazitumia? Kubadili utawala mbovu huoni kuwa ni muhimu?Kabla hamjashikana mikono physically kwanza mshikane kwa kuwa na common goals ya mnachogombania nacho ni issues ambazo zinamsumbua kila mtu.., na mjifunze kuangalia issues na sio kuangalia mambo kwa miwani za Uchama, Udini au hata Ukabila - hio ndio silaha wanayotumia watawala (WAO na SISI) Case in Point hata humu ndani mnapigana wenyewe kwa wenyewe....