Kwa nini wewe umeyafikiria hayo "mambo ya uchama, udini, ukabila", kuwa ndizo sababu za wanaopinga Samia na Genge lake wanazitumia? Kubadili utawala mbovu huoni kuwa ni muhimu?
Mkuu unavyosoma sentensi ukifikia kwenye nukta, na kuanza sentensi nyingine unasahau mwanzo wa sentensi iliyopita ? Unaelewa context ?
Nimesema kabisa kwamba Watawala ndio wanatumia hizo tofauti zote ambazo hazipo kwa kuwagawa hence hata huo Utawala mbovu ni issue na mtakuwa mnabadilisha Utawala mbovu (sababu ya ubovu wake na sio anything else ambayo inaweza kuvikwa propaganda)
Lakini hata kama ingekuwa kama hivyo unavyo eleza wewe; kama lengo la kuung'oa utawala mbovu litafanikishwa na makundi hayo, hilo bado litakuwa ni jambo jema.
Vipi ninavyoelezea ?!!! Kuna mtu ambaye hakumbwi na shida ya issues zinazoendelea kwa sasa ? Ukosefu wa Ujira, Ufujaji wa Kodi zetu, Utawala usiofaa, watu kutokuwajibika, huduma mbovu n.k. (hizo ndio issues nazoongelea mimi) na umoja ni nguvu wakati kuna man made (watawala made issues) ambazo zinakuwa planted na watawala na zinawagawa kwahio ku-dilute nguvu zenu (hakuna Umoja); Chama A kikisema hivi inaonekana ni sawa Chama B kikisema vile inaonekana sio Sawa badala ya kuangalia Usawa wa Vice Versa ya kinachosemwa
Case in point hata tukija issue ya Utekaji watu hawaangalii kama issue ya utekaji ni mbaya na mtanzania anatekwa bali inavikwa kwamba huyu ni Polepole ambaye jana alikuwa mbaya au huyu ni Chama hiki au Padri n.k. Badala ya Issue ambayo ni UTEKAJI hence no matter hata kama ni Kahaba anahitaji Justice kama anavyohitaji yoyote yule mwingine...., kwahio hata adui yako akitekwa haiondoi ubaya wa utekaji
Hizo tofauti unazodai wewe zitashughulikiwa baada ya kutimiza lengo kuu, la kumwondoa Samia na Genge lake madarakani.
Naam jana JPM, leo Samia kesho atakayekuja (hao wote ni Chupa) kama hamtabadili mvinyo (Issues) mtaendelea kuwa madaraja ya watu kupata Kura kwenda Kula
Kwanza yeye ndiye kapalilia hayo makundi unayoyasema hapa.
Nimesema asitoke au anafaa ?!!! Kwahio unaamini kuna Makundi na yanabidi kuondoka ? na wa kuyaondoa ni wewe na mimi na yule kwa kugundua adui yako sio your fellow brother and sister bali issues na maadui zetu bado ni Umasikini, Ujinga na Magonjwa, na inabidi tupambane na yoyote anayewalea maadui hawa na kuwafanya waendelee kustawi (kwa kuendekeza ufujaji, rushwa pamoja na kutapakaza kodi zetu na urithi wa taifa la kesho) - Be it Samia au yoyote yule atakayekuja kesho au keshokutwa; and NOW na sio kungojea every next FIVE years ili kucheza betting ya kwamba huenda huyu ndiye...