Voice Of Zigua
Member
- Apr 22, 2016
- 37
- 4
Wananchi wameanza kuandamana nchini Zimbabwe baada ya kuchoshwa na uongozi wa raisi Robert Mugambe.
Swala sio kuogopwa Mkuu watu wengine wana bahati zao yaani ni vijukuu vya mtume na Mugabe ni mmoja wao ,huyu labda siku yake ikifika Zimbabwe ndio itapumua ,Nikikumbuka alivyo mnyanyasa Morgan aisee hatochelea kuwatandika wananchi wake watakao leta fyokofyokoHahaha.. Mugabe ataogopwa mpaka lini? UncleBen
Wamegundua udhaifu wa "FFU" yao!Haya ni maandamano gani ya watu 7? Halafu wanaacha utamu nje!