Maandamano yaendelea ndani ya Israel kuhusu ufisadi na wizi wa Netanyahu

Acha ujinga ww unadhani hizo nchi zinaongozwa na mawazo za mtu mmoja kama nchi za bara la giza?
Israel ni nchi inayo ongozwa na mfumo imara na haitegei mtu mmoja ili kuwa Imara.
kapitie historia ya netanyah kwanza.halafu urudi ku comment mkuu.
 
Back
Top Bottom