Maandamano ya kupinga ukatili dhidi ya watu weusi yameendelea kwenye mji wa Atlanta.
Maandamano haya yameanza siku chache baada ya mauaji ya watu wawili weusi yaliotekelezwa na polisi.
Wanaandamana nini sasa wakati na wao WAMEUA polisi weupe?![/QUOTE
Kuuwa sawa ila wanataka waone hatua ambazo serekali inachukuwa.Else wataendelea kuua hao weupe