Maandamano ya UKUTA ni kiini macho

Maandamano ya UKUTA ni kiini macho

naliwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
475
Reaction score
1,062
Hii ni kete ya mwisho kwa CHADEMA,naamini hawatakua na hawana nia ya kufanya maandamano kwa sababu wanaijua vema hii serikali si dhaifu tena,

Kauli hizi za maandano kwa CHADEMA ni moja ya propaganda yao ya kukifufua chama ili kisitoke midomoni mwa wanachama.

CHADEMA walijua baada ya kutoa kauli hii kuna viongozi watapaniki sana na kupaniki kwao ndio itakua njia peke ya kuwatambulisha kua bado wapo kwenye top ten ya chama pinzani

Ushauri wangu
Najua maandamano hayatakuwepo naamini hivyoila chama kijiandae kufa

Na ndugu zangu chama tawala acheni kuzungumzia maandamano ya CHADEMA, mnakipa umaarufu bila kujijua,

Narudia tena hakuta kua na maandamano na tarehe moja ni mwisho kwa CHADEMA.
 
Wakati wakubwa wako wanajadili jinsi ya kuondoa zuio la mikutano na maandamano mapema wewe unabwabwaja!
 
Ungekuwa unaongea kwenye kikao cha ndani cha chama chako chakavu mazuzu wangekupigia makofi.

Huku tunakupa makavu,
Wewe ni zuzu unaetaka kutufundisha ujinga.
Usirudie na ukome kuja na fikra kinyumenyume namna hii.

Narudia NI ZUZU!!
NDIIIO, ZUZU!!!

Umezuzuka haswaaaa!!!
Tutumie hoja bila matusi. Tuelimishane badala ya kukatishana tamaa
 
ukosefu wa Elimu ya juu ndio inakusumbua kaa lumumba subiria buku 7 zako kila ijumaa.

swissme

Buku saba atoe wapi. Siku hizi kiwango ni buku mbili. Sasa na mtu mwenyewe kazaa hovyo watoto saba kazi.maalumi hana kutwa lumumba. Ndio maana akili hazioni mbali.
 
hahahaha

swissme
 
Hii ni kete ya mwisho kwa CHADEMA,naamini hawatakua na hawana nia ya kufanya maandamano kwa sababu wanaijua vema hii serikali si dhaifu tena,

Kauli hizi za maandano kwa CHADEMA ni moja ya propaganda yao ya kukifufua chama ili kisitoke midomoni mwa wanachama.

CHADEMA walijua baada ya kutoa kauli hii kuna viongozi watapaniki sana na kupaniki kwao ndio itakua njia peke ya kuwatambulisha kua bado wapo kwenye top ten ya chama pinzani

Ushauri wangu
Najua maandamano hayatakuwepo naamini hivyoila chama kijiandae kufa

Na ndugu zangu chama tawala acheni kuzungumzia maandamano ya CHADEMA, mnakipa umaarufu bila kujijua,

Narudia tena hakuta kua na maandamano na tarehe moja ni mwisho kwa CHADEMA.

Kama ni kweli RUHUSUNI leo mikutano uone kama itakufa hiyo Sept 1
 
ushauri magu aliompa rafiki yake Raila hadi tume ya uchaguzi Kenya ikajiuzulu ndio huohuo utatumika tz
 
HAKUNA CHA UKUTA WALA MSINGI TUNAWASUBIRI KWA HAMU KUWAPULIZIA MAJI YA KUWASHA HADI WAKOME MAANDAMANO YA KIPUUZI , BADALA WAENDE KWA WANANCHI KUSHIRIKI SHUGHULI ZA MAENDELEO WANATULETEA MAANDAMANO YA KIJINGA HAPA. TUNAOMBA TUNDU LISSU AWE MBELE PALE SI KUWATANGULIZA VIJANA WALIOKUNYWA VIROBA
 
Kwenye michezo ya Olimpic huko Brazil kuna kundi la watu wengi tu wanaandamana kwa sababu hawakubaliani na kufanyika kwa michezo hiyo kwa vile wao wana njaa. Nendeni na huko mkawatishie kuwaua au kuwazuia kuandamana. Isaidieni dunia hii kuijua maana mpya ya demokrasia mnayotaka kuijenga katika nchi yetu kwa kuzuia maandamano kwingine pia kwani siku hizi kuandamana ni haramu!
 
Hii ni kete ya mwisho kwa CHADEMA,naamini hawatakua na hawana nia ya kufanya maandamano kwa sababu wanaijua vema hii serikali si dhaifu tena,

Kauli hizi za maandano kwa CHADEMA ni moja ya propaganda yao ya kukifufua chama ili kisitoke midomoni mwa wanachama.

CHADEMA walijua baada ya kutoa kauli hii kuna viongozi watapaniki sana na kupaniki kwao ndio itakua njia peke ya kuwatambulisha kua bado wapo kwenye top ten ya chama pinzani

Ushauri wangu
Najua maandamano hayatakuwepo naamini hivyoila chama kijiandae kufa

Na ndugu zangu chama tawala acheni kuzungumzia maandamano ya CHADEMA, mnakipa umaarufu bila kujijua,

Narudia tena hakuta kua na maandamano na tarehe moja ni mwisho kwa CHADEMA.
Tarehe 1 mtanikumbuka sana
 
Hakuna ccm Siku hizi Luna magu tu.ccm ilishakufa toka October 2015
 
Hii ni kete ya mwisho kwa CHADEMA,naamini hawatakua na hawana nia ya kufanya maandamano kwa sababu wanaijua vema hii serikali si dhaifu tena,

Kauli hizi za maandano kwa CHADEMA ni moja ya propaganda yao ya kukifufua chama ili kisitoke midomoni mwa wanachama.

CHADEMA walijua baada ya kutoa kauli hii kuna viongozi watapaniki sana na kupaniki kwao ndio itakua njia peke ya kuwatambulisha kua bado wapo kwenye top ten ya chama pinzani

Ushauri wangu
Najua maandamano hayatakuwepo naamini hivyoila chama kijiandae kufa

Na ndugu zangu chama tawala acheni kuzungumzia maandamano ya CHADEMA, mnakipa umaarufu bila kujijua,

Narudia tena hakuta kua na maandamano na tarehe moja ni mwisho kwa CHADEMA.
Kama ni kiini macho haya maonyesho policcm wanayofanya huku mtaani niyanini
 
Hii ni kete ya mwisho kwa CHADEMA,naamini hawatakua na hawana nia ya kufanya maandamano kwa sababu wanaijua vema hii serikali si dhaifu tena,

Kauli hizi za maandano kwa CHADEMA ni moja ya propaganda yao ya kukifufua chama ili kisitoke midomoni mwa wanachama.

CHADEMA walijua baada ya kutoa kauli hii kuna viongozi watapaniki sana na kupaniki kwao ndio itakua njia peke ya kuwatambulisha kua bado wapo kwenye top ten ya chama pinzani

Ushauri wangu
Najua maandamano hayatakuwepo naamini hivyoila chama kijiandae kufa

Na ndugu zangu chama tawala acheni kuzungumzia maandamano ya CHADEMA, mnakipa umaarufu bila kujijua,

Narudia tena hakuta kua na maandamano na tarehe moja ni mwisho kwa CHADEMA.
wewe ni naliwe au kuna a apo ulisahau kwenye jina lako ilo. sasa utaona ukuta ukikukilaa ivi ivi
hahahahaha huwa kuna muda jf inawachekeshaji sana
 
Back
Top Bottom