acheni serikari ifanye kazi yake, kama kuna rushwa c vyombo vipo vyenye mamlaka hayo?
Lengo hasa liwe nini? Maana isije kuwa ni kutaka tu mawaziri kadhaa wajiuzulu.
Yawe maandamano ya kushinikiza JK ajiuzulu
Habari wana Jf
kama kesho kutakuwa hakuna mabadiliko yoyote ktk baraza la mawaziri ,wanainchi tutumie haki yetu kikatiba kuandamana kushinikiza mabadiliko.
acheni serikari ifanye kazi yake, kama kuna rushwa c vyombo vipo vyenye mamlaka hayo?
Kazi gani? yakula kwa mikono miwili tena bila kunawa?
Habari wana Jf
kama kesho kutakuwa hakuna mabadiliko yoyote ktk baraza la mawaziri ,wanainchi tutumie haki yetu kikatiba kuandamana kushinikiza mabadiliko.
INGEKUA CHINA SASA HV TUNGEKUWA TULISHA KUWA HATUNA HAO MAWZIRI NA TAYARI WAMENYONGWA!!!!! BUT NOW MAIGIZO TU,WAPI HOJA YA MADAKTARI YAKUTAKA MWZIRI WA WIZARA YA AFYA WAACHIE NGAZI!!!!! daaaah this country bwana is very poor!!!!!
acheni serikari ifanye kazi yake, kama kuna rushwa c vyombo vipo vyenye mamlaka hayo?
Mkuu bunge nalo ni chombo au bado hujakubali kazi iliyofanywa na chombo hicho? Tatizo watanzania tunapenda kutoa changamoto kwa mamlaka zetu pale zinapofanyakazi nzuri, kwani kabla ya ZITTO kutoa hoja bungeni tulikuwa wapi kuandamana? Tuache bunge liendelee na juhudi lililozianzisha.hivyo vyombo vipo wapi na vinafanya kazi gani katika nchi ipi kwa maslahi ya nani?
NB;(if u cannot change M4C will command u 2 change)
Unaunga mkono huku umejificha nyuma ya Laptop wabongo bana.
Najua kuna accessories nyingi kuna iPad, kuna Simu kutoka kwa Hu Jintao...ndio mtakuwa mmejificha kwenye hizo accessories?We bado unafikiri Laptop tu ndiyo inakufanya ubrowse?
Zipo potable accessories popote unatuma habari!
Tunaingia msituni na habari inafika we vipi Ritz!
acheni serikari ifanye kazi yake, kama kuna rushwa c vyombo vipo vyenye mamlaka hayo?
Nonsense!