Maandamano ya kuipinga serikali yapamba moto Telaviv

Umeelewa kwanza nilichozungumza??
Katika viongozi wa Israel Netanyahu ndie kiongozi anaeongoza kuleta migogoro isio na kichwa wala miguu.
Huwezi kuita hamas wapuuzi ilhali wanatetea ardhi yao kijana.
Watu wameporwa ardhi yao na watoto zao hukamatwa na kufungwa jela za kijeshi wanawapambania we unawaita wajinga???
Kwa hiyo akili yako ndio naelewa kwanini Tanzania haiendelei licha ya kua na wasomi wengi.
Nasisitiza migogoro baina ya Israel na wapelestina ipo kabla ya Netanyau yy amekuja kuwashikisha adabu tu, kweli Hamas ni wapuuzi maana huwezi kuanzisha vita ambayo huimudu, hata siku wakipewa hicho wanachokidai bado wataendeleza fujo kwa Israel Kwan Hizbollah huko Lebanon wanawadai nini Israel mbona hawaishi kuwindana Kila siku?

Hao watoto kukamatwa kwao ni Neema zaid maana wanaenda kuhifadhiwa sehemu salama, Hamas ndio hawajali hao watoto na raia wengine maana huwezi kuchokoza mzinga wa nyuki Kisha ww ukakimbilia kwenye mahandaki kujificha ukaawaacha wenzio huku nyuma unategemea nini?
 
We huna akili .
Narudia tena huna akili.
NAKUSISITIZA,NETANYAHU NI MTU KIONGOZI ANAYEONGOZA KUENDEKEZA MIGOGORO.
YAIR LAPID ALIKUA KIONGOZI WA MPITO KIPINDI NETANYAHU ANAKABILIWA NA MASHTAKA ISRAEL NA PALESTINA WAKAWA WANAISHI VIZURI KWA UPENDO NA USHIRIKIANO KIASI KUNA MPAKA WAZAYUNI WALIWEKEZA GAZA.
ILA ALIPORUDI NETANYAHU AKAAMURU EXPANSION YA SETTLERS JENIN NA RAMALLAH.
MBONA YAIR LAPID HAKUAMURU NA ALIENDESHA KILA KITU KIDIPLOMASIA??
Hao watoto wanaokamatwa hupitia unyanyasaji wa kingono na psychological torture wakinyimwa haki za msingi za utoto mathalan kusoma.
Kijana hujitambui jitambue.
Sijasema kama viongozi wa nyuma hawakua wakianzisha migogoro.
Ila Netanyahu ni mtu wa kuzalisha migogoro isiyo na maana.
Unaamuru watu wavunje nyumba za Wapalestina Occupied westbank what do you expect??
Occupied westbank kuna nini mbona kupo cool hakuna hata jeshi wala wanamgambo unavunjia watu nyumba na kukamatwa watoto wasio na hatia???
Hujitambui wewe.
 
ulitaka wafanywaj baada ya wao kufurahia vifo vya waisrael trh 7 oct 2023?
Waomba kwaya mna shida ya kuelewa.
Nadhani swali lingekuja kwa namna ya wimbo huenda ungeelewa.

Watu wanajadili maandamano ya WAISRAELI we unaleta habari ya wenye nchi ( wapalestina).

Kazi kweli kweli
 
Yule Netanyahu anaamini katika matumizi makubwa ya nguvu kuliko akili. Mwisho wa siku ndiyo huu sasa! Kuonekana kama kituko tu mbele ya Waisrael wenzake walio wengi.
Baada ya lile shambulio ulitaka Netanyahu atumie akili gani? Akimbie?
 
Aisee sikujua Netanyahu na utawala wa Israel unachukiwa hivi na wananchi wake

Maandamano kama haya yangetokea Tehran sahz humu JF kuna watu wangekua washajaza Server kwa thread zao!!

Israeli protesters closed a major street Saturday in #TelAviv to demand the resignation of Prime Minister #Netanyahu and the return of Israeli prisoners from the #Gaza Strip and permanent ceasefire

View attachment 2871319
Huna cha kushangilia hapo, bali jifunze, nchi ipo kwenye crisis lakini watu hawafungani midomo, watu wanaruhusiwa kuelezea hisia zao.
Mlidhani ni sawa na nchi yenu inayoogopa watu kuelezea maoni ni hisia zao mpaka inaenda kuwasukumizia wanajeshi wakabebe takataka?
Japo jifunze kwamba Israel is the most democratic country na hao waandamanaji ni Israel - Arabs
 
Racism: In Israel some Jews are more equal than others - TRT World https://www.trtworld.com/opinion/racism-in-israel-some-jews-are-more-equal-than-others-28109

Israel Forcibly Injected African Immigrants with Birth Control ... Israel Forcibly Injected African Immigrants with Birth Control, Report Claims

Hio democracy iko wapi wakati mtu mweusi km wewe unaitwa Shetani na Muisraeli?

Acha kutetea watu wasiokuthamini. Utaadhirika siku moja ujute.
 
Acha kiwa fala, mbona hata huko nchini kwako bado mnabaguana kwa dini, makabila jata kwa itikadi za siasa.
Unadhani kiokoteza vihoja vya minorities ndiyo kutabeba na kuupamba udhaifu wako? Dini yako tu ipo mstari wa mbele kubagia wengine ma kukufundisha kwamba wengine wote si lolote si chochote.
 
Back
Top Bottom