JAMANI SIO MCHEZO WE UNAIITA RAIS,halafu mtu ambaye umemchakachulia kura watu bado wanamsapoti hivi, duu! Naona usalama wa taifa walimpelekea videos bila kuchakachua,..
Mdau tunakushukuru sana kwa picha japokuwa quality yake haiko poa sana.
At least wananchi sasa wanaanza kuelewa maana ya maandamano kwa kuwa miaka ya nyuma maandamano ilikuwa ni Dar tu,leo hadi Karagwe wanaandamana? Du hapo CDM kwa kweli wana haki ya kujivunia walivyoweza kuwahamasisha watu na wale wanaoyapinga maandamano wakienda dukani tunawaomba wanunue sukari kwa sh 2,000 kwa kuwa bei imeshushwa kutokana na juhudi za CDM kuandamana
We unavyofikiri huyo JK wako akienda Karagwe anaweza akapata idadi hiyo?Awamu iliyopita alipigwa mawe kule Mbeya safari hii watamrushia mavi.Rais gani hapendwi na wananchi?
We unavyofikiri huyo JK wako akienda Karagwe anaweza akapata idadi hiyo?Awamu iliyopita alipigwa mawe kule Mbeya safari hii watamrushia mavi.Rais gani hapendwi na wananchi?
unataka kufananisha na wapi? dar, Mwanza, Arusha, Mbeya....? sehemu kama hizo kuwapata hata watu 3000 siyo mchezo ndiyo maana CCM hupeleka wasanii wa ze comedi, bongo fleva, kuwabeba kutoka vijiji tofauti tofauti