Maandamano ya Gen Z nchini Madagascar yanaendelea siku ya tatu leo

Maandamano ya Gen Z nchini Madagascar yanaendelea siku ya tatu leo

The Supreme Conqueror

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2017
Posts
609
Reaction score
1,574
Wakuu ni siku ya tatu leo Madagascar hali si shwari kabisa,kumbuka jana Waziri wa nishati alishaliwa kichwa kunusuru malalamiko ya Wandaamanaji lakini bado haijasaidia kitu.

Soma pia >> Gen Z Madagascar waandamana dhidi ya kukatika kwa umeme na ukosefu wa maji
1759128394477.jpg

Naona kuna muamko mkubwa kwa vijana juu ya kupigania maslahi ya nchi zao.

Screenshot_20250929-093912.png
 
Wabongo jana walikuwa bize wakimtazama simba akiliabisha taifa ngoja akili yao ikae sawa kidogo watakuja hapa kulianzisha muda wowote.
 
Back
Top Bottom